CCM Yatingisha Kibanda Maiti Zanzibar

CCM Yatingisha Kibanda Maiti Zanzibar

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]CCM YATINGISHA KIBANDA MAITI ZANZIBAR[/h]

Maelfu ya WanaCCM na Wapenda amani wakimuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCMZanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar



11951960_697791517018855_2476908674539498512_n.jpg


 
Mr. Chin km jina lako, Maisha utakuwepo chini, mm nipo hapa2 Zanzibar hakuna hbr ya Mkutano leo, Wacha Uongo huo!
 
Ahahaha mbona humu jf kuna mazuzu ya ccm hivyo? Tofauti na mitandao mingine asante kwa kumshushua huyo kibaraka muongo anaesema kuna mkutano wa ccm kibanda maiti.
 
Back
Top Bottom