Recent content by lapo elkann

  1. L

    Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Kwahiyo nawale wanaomsifia hata akimwaga pumba amewahonga yeye?
  2. L

    Tundu Lissu amesema kuwa CHADEMA itakata rufaa dhidi ya hukumu ya Mbunge kwenda jela miezi sita

    Kama RAIA wenyewe wanawaza vitu kama ww basi nchi inaitaji maombi,ila hayo hayana mmoja subiri yatakufika tu
  3. L

    Tundu Lissu amesema kuwa CHADEMA itakata rufaa dhidi ya hukumu ya Mbunge kwenda jela miezi sita

    Duuh I wish ningekuona sura yako kwa upuuzi ulioandika kweli still have a long way to go
  4. L

    Tido Mhando ni kada wa CCM?

    Nani alizifanya?..,au hajui kati yao ndio hawa wakurugenzi wa wilaya?
  5. L

    Nyota yazidi Ng'aa: Naibu spika Dkt. Tulia Ackson apewa nishani na zawadi toka bunge la China

    Hahahaha si nyota yake inazidi kung'aa kwa kupewa nishani na nchi kama China ni kumthibitisha kuwasha amefuzu udikteta labda use haujui China
  6. L

    Mbowe atangaza UKAWA kutokuwa na Imani na Naibu Spika, hawatohudhuria vikao vitakavyoongozwa nae

    Duuh yaani kadri mungu anavyojalia kuendelea kupumua ndio nawajua uwezo wa watz kujadili mambo, laiti kama mungu angetuchukua mwaka jana tu nisingeamini kuna binadam angeweza kusupport kila upuuzi hadi wa kiwango cha naibu spika
  7. L

    Naam, Makonda tena anachallenge status Quo!

    Halafu huyu jamaa anawadanganya watu wasio jielewa tu kiufupi ni kwamba ili barua ziwe zinawafikia watu nyumbani badala ya kutumia sanduku LA barua inabidi serikali ianzishe mfumo wa area codes ambao unaitaji nyumba zote kusajiliwa kuyagawa maeneo ktk mfumo huo,ni suala linalohusu wizara...
  8. L

    Ushauri huu kuhusu Wafadhili serikali imeutoa wapi?

    Sasa hawa vijana wamiliki wa vyeti akina polepole mbona wanatuambia serikali yao haiitaji misaada? Kumbe wakubwa wamefikia hatua ya kufikiria kutunga sheria ya kung'ang'ania wahisani!!
  9. L

    Maggid Mjengwa: Marafiki zetu wa kweli ni Wachina, Twendeni Uchina

    Huyo mjengwa naye anasumbuliwa ugonjwa wa kukupenda ccm kupita kiasi uwa anajifanya anafanya kuandika makala za kiadilifu sana lakini mara zote inapofika suala la kukusolewa watawala nae urejea kwenye uzuzu was kiwango cha kutisha
  10. L

    Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

    Aisee mkuu ni kweli malaika ameshaanza kurudi ubinadam mbaya zaidi anaelekea kwenye ushetani 2020 tuwe na time huru tu basi mengi watamaliza wanainchi
  11. L

    Mansour aswekwa rumande

    Hiyo ndio amani?!! sawa
  12. L

    Kwa hili La BoT, Usalama wa Taifa Ni Makini

    Kwa taarifa yako hao usalama wa taifa ndio 98%ya hao so-called wafanyakazi hewa ambao wanalipwa kupitia BOT hata magu anajua vizuri kuh suala hilo ndio maana ameongea kwenye tone tofauti na hiyo blabla ya kutumbua majipu.ebu jiulize inakuwaje kwenye employees 1,3na ushee kuwe na watu hewa...
  13. L

    Tangazo la Makonda, nafasi ya Mkuu wa Mkoa ni ipi?

    Ubunifu sawa unatakiwa lakini pia ni muhimu kujua mgawanyo wa madaraka, kanuni na chombo kipi kinahusika na lipi kwa mfano alichozungumza makonda Jana kuh kuhamishia bar zote kinondoni ziwe katika mtaa maalum kipo nje kabisa na majukumu ya mkuu wa wilaya sababu yy hausiki kabisa na shughuli za...
  14. L

    SABODO: Mlichonifanyia CHADEMA ni udhalilishaji. Nimewapa mabilioni ya fedha, milioni tatu ni nini!

    Mkuu haisumbui we endelea tu kuiamini hiyo ccm yako usijali waliopewa pesa ya escrow wanaachiwa, akina masamaki wanapewa dhamana, rais wako aliomba ushirikiano wa kutaja wezi lakini juzi ametajwa ombeni sefue kilichotokea badala yake gazeti LA Dora ndilo liombe samahani..! ukizoea kuishi na...
  15. L

    Double Standards za Ikulu kumtetea Ombeni Sefue

    Mbona yule mama aliyemtoa tuhuma za mdomoni kuh daktari aliyemuomba rushwa kwa mdomo tu alisikilizwa na majaliwa na dk Akasimamishwa ila ya semfue ndio wanaikumbuka takukuru!
Back
Top Bottom