Recent content by lanyese

  1. lanyese

    JamiiForums Tanzania Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

    Wamecheza vizuri bila kutumia makombora . Kuwafikia intended targets. Sio kuuwa watoto na wasio husika
  2. lanyese

    JamiiForums Tanzania Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

    This was calculated move waliona step moja mbele
  3. lanyese

    JamiiForums Tanzania Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Bado hamja ona , ulimwengu bado haujaona udhihilisho wa Nguvu za Mungu , utukufu kwa mwisho utakuwa zaidi ya ule wa Kwanza .
  4. lanyese

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

    Unataka huyu awe sawa na mtu aliye kariri Historical sites tu.
  5. lanyese

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake

    Shetani hana mamlaka kwa Mtu wa Mungu analiye mwamini Yesu. 1 Yohana 4:4 shida ipo kwenye kuamini Neno la Mungu jenga Imani yako kwenye Neno la Mungu even in harsh conditions of life you will remain Standing Mathayo 7:24-27. Marko 9:23 yote yanawezekana kwake aaminie , kuamini ni jambo la...
  6. lanyese

    JamiiForums Tanzania Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

    Acha war propaganda unadanganya watu , APC sio land cruiser au vitz iunguzwe kirahisi hivyo na watu wasitoke, kawadanganye wasiojua Labda wamefanikiwa kuzidamage
  7. lanyese

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

    Central Africa na Congo ni moja ya Nchi zilizobarikiwa zaidi ni Kubwa na Wana Kila kitu Madini yote , ardhi nzuri , misitu ya Asili kuliko nchi yoyote Duniani Mzungu aliwaachia laana hizi Nchi.
  8. lanyese

    JamiiForums Tanzania Kama M23 wanazidi kusonga mbele kwa kupata ushindi, Majeshi ya DRC & EAC yameenda kufanya kazi gani?

    War propaganda usiamini Kila kitu Cha kweny media hasa za west ikiwa Wana maslahi na migogoro hiyo .
  9. lanyese

    JamiiForums Tanzania Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

    Ali muotea akashinda moja ila kwangu hii ndio the best trilogy matches kwa heavyweight sio boxing za kina AJ boring fights.
  10. lanyese

    JamiiForums Tanzania Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

    Golden Era ila Evander alikuwa Mtu na nusu, a real fighter hakuwahi kukwepa wala kuogopa mtu alipigana na Tyson mara 2 , George foreman, Riddick Bowe mara 3 , Lennox Lewis mara 2 , buster Douglas, Larry Holmes wote ni formers world heavyweight champions.
  11. lanyese

    JamiiForums Tanzania Taaasisi 5 zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi

    Jiunge uko na wewe ukale ni free.
  12. lanyese

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Everything that is close to God receives attacks, They are desperately kuharibu image ya kanisa Duniani . Ila hawatashinda
  13. lanyese

    JamiiForums Tanzania Chorus za HipHop zenye ujumbe na kali za muda wote

    "Mzawa wetu fanya usawa ukae kwetu , hatufika kama ubaya ndio uwepo wetu, hakuna dili na chini ni mwendo peku Yesu bado hajarudi na hatujui kesho yetu" - One the Incredible
  14. lanyese

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Achana nae huyu hajui chochote kuhusu boxing chuki chuki zake ndio zimemleta hapa . Huyu mtu yuko happy Mtanzania mwezake Kupigwa na anaogeza uongo ambao haufaham.
Back
Top Bottom