Recent content by Lanlady

  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je anachofanya Julius Mtatiro ni sahihi?

    Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni. Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi...
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Natamani kuoa, lakini hela sina

    Ww tafuta nguvu za kiwanda cha uzalishaji. Mambo ya kutafuta hela achia wazee
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Tumkumbushe Mwigulu majukumu ya Waziri Mkuu Kikatiba

    Yaani, anaongea hadi anakera. Kila mahali yupo. Mzee wa trab na trat
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je, CCM ni political party au aina nyingine ya taasisi?

    Ni monopoly party. Kwanza sasa hivi hakuna viongozi wanaotokana na ccm. Kuna wahuni tu. CCM kina misingi yake ambayo kwa sasa imekiukwa na kuvunjwa vunjwa kabisa.
  5. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Sasa imetosha! Tupinge ukamataji kwa wote wanaoikosoa Serikali

    Uzuri wa siasa hazina rafiki wala adui wa kudumu. Leo kwetu, kesho kwenu. Ni suala la muda tu. Kulia, kupokezana. Furahia shibe kabla njaa haijakukuta. Hata hivyo, si lazima watu wote tufanane mtazamo. Kutofautiana kwetu ndio kunatufanya tuwe jinsi tulivyo (our differences makes us who we are)
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Sasa imetosha! Tupinge ukamataji kwa wote wanaoikosoa Serikali

    Uzuri wa siasa hazina rafiki wala adui wa kudumu. Leo kwetu, kesho kwenu. Ni suala la muda tu. Kulia, kupokezana. Furahia shibe kabla njaa haijakukuta. Hata hivyo, si lazima watu wote tufanane mtazamo. Kutofautiana kwetu ndio kunatufanya tuwe jinsi tulivyo (our differences makes us who we are)
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Sasa imetosha! Tupinge ukamataji kwa wote wanaoikosoa Serikali

    I see! Sasa kama kila kitu kiko sawa kuna haja gani ya kuwa na wizara? Kama nchi imeshafikia ukomo wa maendeleo yake kuna haja gani ya kuwa na wabunge? Kama kiongozi anachotaka ni kusifiwa tu, hakuna sababu ya kujadili wala kuweka mipango kazi ya maendeleo. Imetosha!. Kukubaliana au...
  8. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Sasa imetosha! Tupinge ukamataji kwa wote wanaoikosoa Serikali

    Namsihi kila mtanzania apaze sauti yake aseme SASA IMETOSHA. Kila kukicha ni taarifa za fulani kakamatwa, fulani katekwa, fulani huyo huyo inakuja kujulikana ameshikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuikosoa serikali. Kwani serikali ni nani? Nini maana ya serikali? Serikali si ni taasisi...
  9. Lanlady

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Namba hazidanganyi, lakini Tanzania zinadanganya

    Twende hivyo hivyo tu ndg yangu. Tutafika tu. Kikubwa uzima.
  10. Lanlady

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii hatari sana kwa mstakabali wa taifa. Tanganyika haikupaswa kutawaliwa na rais kutoka zanzibar. Yaani mzanzibari halisi 100%. Huo ndio ukweli.
  11. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Huu nao ni utumwa wa kifikra

    Kuzuia watumishi wa umma, waajiriwa wa serikali na wanachuo kujadili mstakabali wa nchi yao kwenye nyanja ya kisiasa, kwa kisingizio cha kutochanganya masomo na siasa, kazi na siasa; huo ni utumwa. Hao hao ndio wanahamasishwa kupiga kura kuchagua viongozi wa kisiasa ila hawaruhusiwi kujadili...
  12. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Si sawa hata kidogo kulinganisha umaskini/utajiri wa nyumba A na B kwa mfumo wao wa maisha

    Katika hali halisi ya maisha hatuwezi watu wote kualingana namna tunavyoendesha maisha yetu. Vivyo hivyo hata mataifa hayawezi kufanana kiuchumi. Vigezo vya upimaji wa uchumi si tu namna wanavyoishi bali pia hupimwa kutegemea na rasilimali zilizopo katika nchi husika.. Hakuna asiyejua kuwa...
  13. Lanlady

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

    Uhuru wa Tanganyika sio Tanzania bara. Nyie ndio mnasababisha wanafunzi wanashindwa kuelewa kama Tanzania iliwahi kutawaliwa au Tanganyika?
Back
Top Bottom