Recent content by Landcruser

  1. Landcruser

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Klabu ya Yanga imeshindwa kung'ara mbele ya Klabu Singida Utd baada ya kutoka sare ya goli 1-1

    Majina ya watu uwe unayaandika kwa herufi kubwa mwanzoni. Mwisho ninaiombea mabaya timu ya Yanga. Amina.
  2. Landcruser

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu(Tigo) acheni upuuzi wa kugawa namba zetu za simu kwa waganga na washirikina

    Inatokea mke au mume wako anasoma hiyo msg atajua ndio mipango yako hiyo. Shenzi zao kabisa.
  3. Landcruser

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu(Tigo) acheni upuuzi wa kugawa namba zetu za simu kwa waganga na washirikina

    Aaaah mkuu mi sipiti njia hiyo. Hizi kampuni zinatukosea heshima sana. Kuna siku utapokea pia ujumbe na wewe.
  4. Landcruser

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu(Tigo) acheni upuuzi wa kugawa namba zetu za simu kwa waganga na washirikina

    Nimepokea ujumbe huo muda mfupi uliopita.
  5. Landcruser

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru's cabinet :more muslims than ever?

    Kitambo sana The Boss
  6. Landcruser

    JamiiForums Tanzania 5 Warnig Signs That Reveal Your Car Battery Needs Replacement.

    Andika kwa Kiswahili mkuu
  7. Landcruser

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Mkuu PREMIO ilikosa kabisa? Nimeona kimya kabisa hata huiongelei tena.
  8. Landcruser

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliozaliwa kati ya mwaka 1980 hadi mwaka 2000 mnajiteteaje katika tuhuma hii nzito?

    Hii ni post ya saa nne na nusu asubuhi. Kichwa bado kina nguvu.
  9. Landcruser

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    Baraza la Mitihani linatarajia kutangaza matokeo ya mtihani wa taita kidato cha nne muda mfupi ujao
  10. Landcruser

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Mfano kama hili hapa
  11. Landcruser

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Sasa kama premio new model imekosa nyeusi jaribu kunitafutia PREMIO OLD MODEL NYEUSI. Nadhani ya mwaka 2000
Back
Top Bottom