Recent content by lamosai langasani

  1. L

    Wachagga na mila za kufukua maiti

    Nikuweke sawa.Hapa kwenye kufikisha maiti nyumbani saa tatu au saa nne asubuhi ni kwa kuwa jamii hii ni ya wachapakazi.muda huo kijijini watakuwa wameshaamka kuwapa mifugo chakula na kazi nyingine maana maiti ikishafika hakuna mwanaukoo anayeruhusiwa kufanya chochote hata kufungua duka hadi...
  2. L

    Taji Liundi avunja ukimya kuhusu COVID-19

    Nyerere alikuwa anaona mbali sana aliposema siasa ni kilimo.ni aghalabu kumsikia mtu mwenye shamba la chakula na ufugaji akilalamika humu.'Nendeni mkalime. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

    bado alikuwa kijana na lulu ya awamu hii.so sad news to me. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Madhara watakayopata wanafunzi baada ya Msimu wa Corona kupita

    labda kama wa kwako ndio wanazagaa mitaani.watoto wengi wapo majumbani wakisoma. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Fursa ya biashara kwa mtu mwenye pesa na hajui awekeze wapi

    YAANI UKILOGWA UKAMKOPESHA MTAJI GRADUATE WA TSH.500.000 KITU CHA KWANZA ATAWAHI SAMSUNG YA 450.000.HIZI NDIZO AKILI ZA HIKI KIZAZI KIPYA CHA NYOKA. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

    Watanzania walizoea unafiki na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.Huyu raisi ni msaada toka kwa Mungu ili tuachane na unafiki wa kuoneana aibu.Tumekuwa na matatizo kutokana na viongozi wapumbavu wa awamu zilizopita.Mungu akulinde Magufuli raisi wangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Naelekea kufa kwa njaa siku si nyingi

    nenda ukalime Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    Msaada wenu wanajf nina Shahada ya Ualimu nahitaji kazi

    nenda upesi ukalime Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Naomba kujuzwa Mkoa na Wilaya Bora ya kuishi kwa utulivu na kuwa na maendeleo

    any remote village with umeme internet and fresh food is convinient to your request. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Uhamiaji mliokwenda kufanya ukaguzi shule ya Martin Luther jijini Dodoma muda huu mmestukiwa, hamtafanikiwa ukaguzi wenu

    Walimu acheni majungu.kiingereza hamjui mnawachongea walimu wenzenu wa nje wasifundishe.Hivi bila kiingereza kijana atafanya kitu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Nina Shahada ya kilimo natafuta kazi

    UPESI NENDA UKALIME.SI UMESOMEA KILIMO? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

    Wewe kweli huna kazi za kufanya.Fahamu watu wanaolala hotelini ni kwa matatizo yao mbalimbali wangine wasafiri.NENDA KAFANYE KAZI ACHA KUWAZA KWENDA KUSHINDA MAHOTELINI SAA 24. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Naomba tafsiri ya sentensi, 'Baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenye familia?' kwenda lugha ya Kiingereza

    Hakuna lugha inayotafsririwa neno kwa neno kutoka kiingereza. wewe uliyeleta hili hujui lugha. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Kama huna ajira nenda ukalime. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom