Nina Shahada ya kilimo natafuta kazi

Nina Shahada ya kilimo natafuta kazi

20 Maker

Member
Joined
May 4, 2019
Posts
47
Reaction score
74
Habarini wakuu,

Niko natafuta kazi ya kilimo. Elimu yangu ni degree ya Kilimo. Kwa yeyote mwenye fursa za kilimo tafadhali naomba share na Mimi

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkubwa futa huu uzi! Degree ya kilimo unatafutaje kazi aisee

Futa huu uzi alafu tafuta kazi kimya kimya
 
Dogo nenda kijijini kwa wajomba na shangazi zako kawafundishe mbinu za kilimo Bora Kisha msimu unaofuata Lima nao practically utaona matunda take. Hutataka Tena kuomba omba kazi za kuajiriwa na hapo utakuwa umeitendea haki elimu yako.
 
mkuu kama una mtaji fungua duka la madawa ya kilimo hautajuta ila kusema kwa ufanye kilimo
na haujawahi kukifanya utapiga harasa hutaamini
na unavyosema kwamba unatafuta kazi mkulima atakulipa sh ngp ukizingatia kilimo sawa na bahat nasibu
nina uzoefu na hii kazi ya kilimo takiribani miaka 10
 
Kuna pori huku,linahitaji mtaalamu wa kilimo aweze kuzalisha mazao
 
Back
Top Bottom