Recent content by Lamine_

  1. Lamine_

    33m natafuta Mature Woman (45–50) — Casual Affair au Serious Relationship?

    Km we unapeleka positive energy kwann Ubuntu negative energy???? Unless na we upeleke negative energy kwa kumuumiza pia
  2. Lamine_

    Hapa kuna mambo haya✌️

    🤣🤣🤣
  3. Lamine_

    Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

    Khaaa🤣 Mtu km ana nia ya kukuroga anakuroga tu bila ht nguo
  4. Lamine_

    Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

    Aisee nyie ndo maharibu mabinti wakiwa wadogo then badae mnataka bikra zitoke wapi??? Ila wanaume muwe na huruma Ukichezea na watt wako watachezewa😁 tu
  5. Lamine_

    Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Inasemekana kashavuta sa sijui ni kweli Anyway muda utaongea
  6. Lamine_

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Mjinga mwanaume ambae una mke na watt na unaona kabisa huhitaji tena watt unahangaika nn huko nje ?the 1st place ?kanujue malaya basi kuliko kuwa na mpenzi wa kudumu ..labda ukute mwanamke anaejielewa sn na umwambie ukweli since the beginning
  7. Lamine_

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Eti nn? Nani kakwambia we babu😁 Wapo kibao tena wanakuomba kabisa uzae... Sema haya mambo bwana wengine mapenzi yanakolea mpk wanaona wazae tena sio mtt 1 ... Ambao hawataki wengi huwa wanasema mapema kabisa, ss hapo labda mwanamke mwenyewe ubebe...na hii mara nyingi inatokea mwanamke anaona...
Back
Top Bottom