Recent content by lamchaz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ting decoder packages

    Hawa jamaa wa ting kiukweli wababaishaji maana biashara yao haijitangazi, sijaona wakisema wanapatikana kwa namna ipi, wala mikoa ambayo inapata huduma niipi, labda wadau naomba kujua hii decoda yao ina patikana mikoa ipi? Au haina limit, mie niko mkoa wa kagera. Ntashukuru wadau
  2. L

    JamiiForums Tanzania uchaguzi udom wachafuka

    Nibaada ya kindumbwendumbwe cha uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha DODOMA (UDOM), uchaguzi ulofanyika leo tarehe 7 may 2011 licha ya kuhailishwa jana baada ya dosari zilizo husisha kukosekana kwa baadhi ya majina ya wagombea, na tume kutohaminika uchaguzi ulihailishwa na kufanyika...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    ukweli ni kwamba mama alisingiziwa..bunge linahitaji mtu mwenye uwezo wa akili/taaluma ya sheria..mama makinda atazidi kubolonga kila kikao cha bunge lakini tusimlaumu,maana alisakiziwa cheo..
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaoongoza kutoongea bungeni!

    tunajua tz ina majumbo mengi hivo wabunge wengi,inakuwaje zitto,halima,lisu nawengine wanaongea angalau mara 3/wiki,,ilihali wabunge wengine hasa ccm hawaongei kabisa wanasubiri kusaini posho,,mfano pale kagera karagwe,na kyerwa hawaongei na hawaonekani bungeni....
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa UMALAYA

    jamani siku hizi hata dodoma sanasana kipindi cha mjengoni!! usi seme
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa katiba mpya unakwamishwa na wachache

    hivi dhamila ya dhati ya kuhakikisha tunapata katiba mpya utafanikiwa? aliye waza mapema hivi kuwa mjadala wa katiba mpya usijadili baadhi ya mambo ambayo niyamsingi kwa watanzania na ndiyo yanayo tufanya kutaka katiba mpya, anaitakia mafanikio nchi yetu ama anataka kustua mioyo mitulivu ya...
Back
Top Bottom