Mchakato wa katiba mpya unakwamishwa na wachache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato wa katiba mpya unakwamishwa na wachache

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by lamchaz, Apr 8, 2011.

 1. l

  lamchaz Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi dhamila ya dhati ya kuhakikisha tunapata katiba mpya utafanikiwa? aliye waza mapema hivi kuwa mjadala wa katiba mpya usijadili baadhi ya mambo ambayo niyamsingi kwa watanzania na ndiyo yanayo tufanya kutaka katiba mpya, anaitakia mafanikio nchi yetu ama anataka kustua mioyo mitulivu ya watanzania na kuleta mparanganyiko? jamani watanzania wana hamu ya kupata katiba inayo waweka huru, wazi na uhakika wa serekali madalakani,,kitendo cha jana(7.4.2011) hakikuashiria vyema,watanzania wamefukuzwa eneo la bunge kwa risasi za machozi! hatutafika,,hivi kwanini hawakutafuta nafasi ili waweze kushiriki? tuijenge tanzania kwa moyo wa upendo na si masilahi binafsi!!!
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Karibu jamvini!
   
 3. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwanza karibu sana, na pia nakupongeza kwa hoja yako nzuri, ipo siku itapatikana tu
   
Loading...