Recent content by lamarrich

  1. L

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: ZEC Yaamuru Maalim Seif akamatwe

    Weew kijana Akili hauna... Na Kura zanu za Mahindi hizo hata huku bara kitaeleweka tu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa kuanza nae Maisha

    Niahitaji Msichana mrembo kiasi.. Mwenye umri kuanzia 22 hadi 26 Mwenye shahada either ya bachelor of science in medicine, civil and electric and Mechanical engineering, computer science, chemistry, neurology, oil and gas, bachelor of business in accountants, finence, commerce, marketing, Na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo - Wanted wife

    Hahahahahaha.. Eti kijungu safi sana wew ni Mtunzi mzuri wa maneno
  4. L

    JamiiForums Tanzania Marafiki wote wa kike karibuni

    Rafiki woote wa kike... Tuchatt tufahamiane na Tubadilishane mawazo, Naihisi huu urafikii unawezaa ukaniwezesha kupata Mpenzi wa kike, so ni PM usizidi miaka 22
  5. L

    JamiiForums Tanzania Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

    Ataolewaa na wenye kuhitaji Darasa la saba.. Wanaume wako wengi kila mwanaume na chague lake
  6. L

    JamiiForums Tanzania Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

    Ok Ev11 nameku PM
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

    Ok Ev11 naku PM my numbers Tufahamiane..
  8. L

    JamiiForums Tanzania Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

    Asante sana Yummie.... Pamoja
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

    Hapana tunaoa wanawake rafiki wenye ka elimu kidogo
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kuwezeshwa kibiashara kwa Vijana

    Nahitajii mkopo wa kuanzisha biashara, sina assets kama kiwanja, nyumba hata gari.. Lakini nimekua nikitafutaa mkopo ili nianze biasharaa.. Na naminii kua nitaulipa tu kwa muda muafaka..., nahitaji kuanzia milion million 3 hadi 10 kwa yoyotee tutakayeweza kuandikishiana kisheria nitamlipa na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

    Wapo mbona akipatikana wa diploma poa pia.. Atajiendelezaa.. Umrii wangu 25
  12. L

    JamiiForums Tanzania Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

    Nahitaji mwanamke wa kufunga nae ndoa awe maji ya kunde au mweupe... Awe msomi wa degree au diploma katika fani hizi ... Engineer,Doctor, Accountant, finance, business Administration, sociology.... Awe sio mnene wala sio mwembamba.. Mrefu kiac cha kawaida.. Asizidi miaka 24 awe dini yoyote na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike, Tufahamiane na kama tukipendana tufunge ndoa

    Hapana pritty kila mtu na chaguo lake... Atatokea tu siku wa chaguo sikumoja
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike, Tufahamiane na kama tukipendana tufunge ndoa

    Nahitaji kua na rafiki wa kike anayesoma kuanzia. 1. A- level haswa awe Form 6 (six) au Diploma na. kuendelea hadi chuo kikuu. 2. Katika Fani ya. Civil Engineering, petroleum and gas, Electric Engineering Bachelor of Medicine au Nursing, Accountants, Bcom Finance, business...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nimeamini humu LC hakuna mabinti ila mijimama

    Nicheki kwa prvt mama
Back
Top Bottom