akamatwe tu, vipi ajitangaze mshindi wakati kura hazijahesabiwa zote? Huyu mzee bora akaozee jela tu. Na huku kwetu marienge na yeye yuko njiani.
Wakati Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ikisubiriwa kutangaza matokeo ya urais mapema asubuhi hii, sintofahamu imewagubika wananchi visiwani humo hasa baada ya mgombea urais kupitia CUF, Maalim Seif Sharif kujitangazia ushindi.
Kuchelewa kutolewa kwa matokeo hayo kumezua hali ya wasiwasi visiwani humo iliyopelekea kuimarishwa kwa ulinzi mkali kupitia jeshi la wananchi.
Wakati Maalim Seif akijihakikishia ushindi na kumtaka mshindani wake Dkt. Ali Shein kukubali matokeo, ZEC kutangaza matokeo mapema pamoja na Rais Jakaya Kikwete kusaidia katika hatua za kukabidhiana madaraka, imeripotiwa kuwa ZEC imelitaka jeshi la polisi kumkamata mgombea huyo kwa kile kilichodaiwa kuwa amekiuka sheria ya uchaguzi kwa kujitangaza mshindi.
Sheria ya Uchaguzi inaipa Tume ya Uchaguzi pekee mamlaka ya kumtangaza mshindi wa nafasi ya urais na mtu anayekiuka sheria hiyo anatenda kosa la jinai.
Chanzo: DAR24
Nadhani ni aibu kwa nchi yetu(ZEC&NEC) kushindwa kutangaza matokeo ya Uraisi wa Zanzibar. Sidhani kama kuna excuse yenye mantiki ya kushindwa kutoa hayo matokeo ikizingatiwa kuwa Zanzibar ina jiografia rafiki na idadi ndogo sana ya wapiga kura. Zanzibar ni ya wazanzibari wote bila kujali vyama, hivyo kwa yoyote yule aliyeshinda apewe haki yake tafadhali
Wana masaa 72 ya kutangaza kwa mujibu wa katiba yao na masaa 72 yanakwisha leo saa sita ya usiku na wanaweza wakaongeza siku tatu zingine baada ya hayo masaa 72.
Sasa nini kilichochelewa hapo?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Wakati Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ikisubiriwa kutangaza matokeo ya urais mapema asubuhi hii, sintofahamu imewagubika wananchi visiwani humo hasa baada ya mgombea urais kupitia CUF, Maalim Seif Sharif kujitangazia ushindi.
Kuchelewa kutolewa kwa matokeo hayo kumezua hali ya wasiwasi visiwani humo iliyopelekea kuimarishwa kwa ulinzi mkali kupitia jeshi la wananchi.
Wakati Maalim Seif akijihakikishia ushindi na kumtaka mshindani wake Dkt. Ali Shein kukubali matokeo, ZEC kutangaza matokeo mapema pamoja na Rais Jakaya Kikwete kusaidia katika hatua za kukabidhiana madaraka, imeripotiwa kuwa ZEC imelitaka jeshi la polisi kumkamata mgombea huyo kwa kile kilichodaiwa kuwa amekiuka sheria ya uchaguzi kwa kujitangaza mshindi.
Sheria ya Uchaguzi inaipa Tume ya Uchaguzi pekee mamlaka ya kumtangaza mshindi wa nafasi ya urais na mtu anayekiuka sheria hiyo anatenda kosa la jinai.
Chanzo: DAR24
akamatwe tu, vipi ajitangaze mshindi wakati kura hazijahesabiwa zote? Huyu mzee bora akaozee jela tu. Na huku kwetu marienge na yeye yuko njiani.
Wanajidanganya mbona Makamba hawajamkamata au kwa vile yeye hakuita waandishi wa habari
Acha kupotosha, wakati anatangaza hivyo kura zote zilikuwa zimehesabiwa na ndio maana alitoa hadi figure. Au wewe unazungumzia kura za huku Bara?akamatwe tu, vipi ajitangaze mshindi wakati kura hazijahesabiwa zote? Huyu mzee bora akaozee jela tu. Na huku kwetu marienge na yeye yuko njiani.
Mkuu wa nchi limemganda hiloNchi itaingia kwenye machafuko makubwa wasisubutu huu ni ushauri wangu wa bure kabisa.
Nchi itaingia kwenye machafuko makubwa wasisubutu huu ni ushauri wangu wa bure kabisa.
Kwa hivyo Makamba alimtangaza nani vile?Nazidi kuichukia hii nchi,hvi Makamba yy alifanyaje,mbona hatusikii wakimkamata,pumbavu kabisaa,pana tatzo gani kumtangaza kama kashinda
Unajua hizi ndizo changamoto za sheria mbovu. Ikiwa mtu anazo karatasi zilizotolewa na Tume na zimesainiwa na wasimamizi na mawakala husika kwa vituo husika, kuna kosa gani mtu kuzitoa hizo takwimu? Takwimu hizo tayari ni public information...watu wanajificha nyuma ya sheria wanapopata matokeo yasiyo upande wao. Matokeo haya yanabandikwa vituoni jamani na huwezi kuxuia kitu kilivho wazi watu kukiongelea kwa uwazi. Ngoja tusubiri polisi wamkamate Maalimu na tusikie mashitaka watakayomfungulia!Alichofanya Seif na alichofanya Makamba ni vitu viwili tofauti kabisa....! Utofauti huo upo katika maeneo yafuatayo;
Pengine mi nashauri kuwa ni vema ikaangaliwa kuwa Katiba ya Zanzibar, na Sheria ya uchaguzi inasemaje katika hali kama hii...! Halafu hatua ichukuliwe ipasavyo...!
- Seif alizungumzia matokeo ya urais, wakati Makamba alizungumzia ushindi wa majimbo....!
- Kumbuka Seif alienda mbali na kuiamuru Tume itangaze kama anavyotaka yeye, wakati Makamba hakufanya hivyo...!