Nahitajii mkopo wa kuanzisha biashara, sina assets kama kiwanja, nyumba hata gari.. Lakini nimekua nikitafutaa mkopo ili nianze biasharaa.. Na naminii kua nitaulipa tu kwa muda muafaka..., nahitaji kuanzia milion million 3 hadi 10 kwa yoyotee tutakayeweza kuandikishiana kisheria nitamlipa na faida juu.. Asantenii.. Wandugu, ni PM kwa yoyote atakeyejisikia kuwekea mkataba