Recent content by lamalu

  1. lamalu

    Fahamu majina ya sehemu za miji maarufu nchini Tanzania

    Kwahiyo mike chain ndio mikocheni😆 Korogwe nako kuna chekelei bila shaka wazungu walipaitga chek reli😀
  2. lamalu

    Wakazi wengi wa Uswahilini Dar es Salaam ni viumbe wa ajabu sana

    Kitu kilichonifurahisha tangu huu uzi utoke hadi leo lengo la huu uzi haujafanikiwa! Wenye akili wamekwepa na kumuacha mtoa uzi akiteseka tu! Kuna DINI ilikuwa inatafutwa iongelewe ila kila mtu kaongelea umwamba wake,utajiri wake,ujuaji wake,kipengele cha hiyo dini wamekichokonoa baadhi ya...
  3. lamalu

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Daaaah mi nishazeeka,mfano zamani ilikuwa naweza sana kubishana ila kwasasa naweza kusema kitu mtu akibisha namwambia tu its ok,ukija kudhihirika ukweli ndio naweza kumwambia si nilikwambia au pia naweza nikakaa kimya tu abaki mwenyewe anajisemea ila jamaa alisema
  4. lamalu

    Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Yaani niwe mkweli kuanzia kwa dr salim,Mrema hadi Biteko sijaona kitisho ulichoandika,yani nilichoona ni maoni yako wewe ambayo yanajulikana tu,zaidi nimeona neno why why,ule uhatari uliosema unauona binafsi sijauona,Sijui DIPIII WELDIII IMEINGIAJE,Yaani kwa ufupi haya ni mawazo yako na sio...
  5. lamalu

    Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

    Mi kwangu shida sio ni kiasi gani amepata huyo mke,mi shida yangu ni mwizi huyo! Kuhusu kumuacha au kuendelea nae atajua mwenyewe ila tatizo huyo ni mwizi!
  6. lamalu

    Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

    Humu wengi matajiri,humu wengi mshahara wao ni milion plus[emoji3] njoo sasa kwenye uhalisia hawana lolote!
  7. lamalu

    Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

    Juzi nilikuwa nasafari nikawa na kibeg changu kimoja,kwenye buti wakasema niingie nacho ndani,kuingia nacho ndani pale juu kwa mizigo hakiingii,basi mlangoni kuna ilani kabisa usiweke mzigo chini utaharibu system ya kuchajia simu[emoji3] nilichokifanya nikachukua kile kibegi na kukiweka...
  8. lamalu

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Kuna binti nilimpenda sana bahati mbaya Mungu akampenda zaidi anaitwa malula,so kwa ajili ya kumbukumbu nikaligeuza na kuwa lamalu
  9. lamalu

    Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

    Mi gari yangu ni kiazi kitamu tu[emoji1787] Mwanza Arusha kama napaaa vile,ukiliona kwa nje bayaaaaa,ila moto wake waulize kina loliondo[emoji3]
  10. lamalu

    Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

    Binafsi wala sijaona swali gumu hapo eti Hijabu alitoa wapi sasa si alishajiandaa ba Jose alinunua? Alitokaje wakati kuna fence? Hicho ni kipindi cha mitihan kuna wanafunzi wanaingia na kutoka pengine alijichanganya akatoka,eti mkuu wa shule kuwapa pole wazazi nalo ni swali la kufikirika? Si...
  11. lamalu

    Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

    Binafsi wala sijaona swali gumu hapo eti Hijabu alitoa wapi sasa si alishajiandaa ba Jose alinunua? Alitokaje wakati kuna fence? Hicho ni kipindi cha mitihan kuna wanafunzi wanaingia na kutoka pengine alijichanganya akatoka,eti mkuu wa shule kuwapa pole wazazi nalo ni swali la kufikirika? Si...
  12. lamalu

    NEMC iangazieni kwa Tunza lodge Mwanza haraka (noise pollution)

    Kiukweli hizi kelele ukitaka ujue shida zake uwe umechoka,kuna siku nilikuwa Double tree au Boma maeneo nafikiri ya meco na Buzuruga,nikagonga sana vyombo mpaka saa nane usiku au tisa,nikatafuta room karibu na palepale nikalala,kwakuwa sikuwa na kazi yoyote na sina mke wala familia huku...
  13. lamalu

    Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

    Wakaweka na panya kitandani panya wakamsubir hadi arudi ndio wasepe darini si eti eeeeeh!!!!?[emoji23]
  14. lamalu

    Una jambo gani la matumaini la kuwaambia watu waliokata tamaa kabisa?

    Ahsante huu mchango wako unaendana na jina lako! Daaah nimejikuta nacheka tu [emoji23]
  15. lamalu

    Basi la New Force lanusurika kupata ajali nyingine Kitonga

    Heading iwe ni ajali sio limenusurika kupata ajali
Back
Top Bottom