Acha kuota wewe. Labda hicho chama chake kipandishe satelite juu. Ukipingana na China au Russia ni sawa umepingana na Mungu.
Hizi nchi zinanguvu sana kitechnologia Bro. kudukua daka mmoja aiombe radhi china ndo ajitafakari kuanzisha hicho chama chake. vita vya kiuchumi vinaleta impact hadi...
Fungua maombi ya mirathi mahakama ya mwanzo uambatanishe na hicho cheti cha kifo pamoja na mutasari wa kikao cha ukoo/ familia kuonyesha umeteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi wa mali za marehemu. Kama marehemu ameacha wosia ambatanisha huo wosia pamoja na cheti cha kifo. kazi yako ni kukusanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.