Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo awe na mapezi ya dhati

Kwa upande wangu sijawai zaa,sijawai olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm

NB:Naitaji mwanaume maji ya kunde asiwe mweupe wala mweusi lizingatiwe wapendwa
huo usenge wako wakuchagua wanaume ndo mchawi wako, heti maji ya kunde... hata humu hupati sasa wote weusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom