Recent content by laleo

  1. L

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Pinda akisha akisha ondoka,Mimi siwezi kulia,nitamtupa Sibawanga,awe chakula cha mamba!!!!!!
  2. L

    Unafiki wa wazi wa hawa watu...

    Tuweke wimbo wa kigeugeu jamani hapa. Hivi lakini cheo huwa kinatafutwa kwa nguvu hivi? Kama ni hivyo basi mimi siwezi. Kura kwa Dovutwa tujue moja!!!!!!
  3. L

    Mr. Politician kuimba Arumeru? Yule dada kapotea, simsikii tena

    Jamani ni Siyoi i/o Sio.Mmenipata?
  4. L

    Washili wampa go ahead(Baraka) Joshua Samwel Nassari huko Arumeru....

    Kwani Washili wako Songoro tu????.Vipi Akeri,Poli,Mulala,Ngarenanyuki,Leguruki ect Jamani mambo mengine ni utani.Tusubiri siku ya kura
  5. L

    Chiligati: Na hii imevuja tena kutoka CC ya CCM - Kampeni chafu dhidi ya Sioi Sumari

    Du! 40 Meru,hi mpya.Mpeni ukuu kijana,biashara asubuhi,jioni tunafanya mahesabu.
  6. L

    Washili Chadema Imeshawashtukia

    Namoba nisahihishe kidogo,si sawa kuwaita viongozi wa kabila zima vizee kwa kosa la mtu mmoja anayeshindwa kutumia akili yake.Inashangaza kuona kuwa ushabiki tu wa chama unatupoteza.Kwanza hakuna udhibitisho kuwa wazee wa kimila wamemzuia yeyote kufanya kampeni,hizo ni propaganda tu za...
  7. L

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Concur with the others
  8. L

    Lowasa na uchaguzi Arumeru

    I concur,EL kaza buti,the time has come to make us proud
  9. L

    Lowasa na uchaguzi Arumeru

    Nimeipenda sana analysis ya hapo juu.Ni kweli siasa za Meru ni tofauti kabisa.Huwa wanamchagua mtu wanayempenda bila kuangalia sana nani yuko nyuma yake.Kama hawajaridhika na kiongozi wao basi watamuondoa bila kuangalia anatoka chama gani au nani yuko nyuma yake.Meru people dont vote gladly for...
  10. L

    Dr H. Mwakiembe atapona na mtashangaa!

    Ingawa namuonea huruma Dr Mwakyemebe kwa yaliyo mkuta(Mungu amponye mapema) si vyema kunyoshea watu vidole na kusema ni yule.Na siku mkigundua si yeye????? Mungu awasamehe wote wanawahukumu wenzao kwa kutumia umbea zaidi ya ukweli?
  11. L

    Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

    Sioi Juu!!!!!!!!-----------------------------------------------------------------.I told you guys kuwa maji yanafuara mkondo
  12. L

    Arumeru kunazidi kupamba moto!

    Uuuuuii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Ni ubunge tu???! Ila watu wa Leguruki,Nkoaranga,Kitakiti,Kingori,Maruvango,Nkoansiyo,Mirini,Mbuguni,Maji ya Chai,Tengeru,Usariva,Kibaoni ect watamchangua. Ni dunia huru,nchi huru,mawazo huru.Kila mtu ana haki ya kufanya...
Back
Top Bottom