Kumbuka hata maandiko ya Mungu yanavosema, tuishi nao kwa akili. Nakupa pole sana mkuu, naamini wanaume wengi lazima wamepitia hii hali hata kama sio kwa kuachana lakini ni kawaida sana kukuta watu wanaopendana wamegombana kwa kiasi cha juu sana. Kama yy ndo amekuacha usije...
Kwa taarifa yako 30ml nusu heka huwezi pata kiwanja Njiro au Moshono. Njiro angalia uwe na 50ml. Nakushauri tafuta maeneo mengine kama kisongo. By the way Njiro na Moshono kuna shida ya upatikanaji wa maji sana
Ur a man na bado umri hujaenda sana, chukua maamuzi sasa ukiendelea kumuwaza utazid kuumia. Nakushauri usimnyang'anye chochotee ulichomnunulia mwachie abaki navyo tu. Sijajua kama umeajiriwa au umejiajiri. Kwa sababu kama umeajiriwa inaweza kukuharibia ajira. So msahau...
Kwani ni jimbo gani la ccm unaona mtu ndo had it utake waje huku unakosema, anyway ulitaka aje kufanyaje siku hizi dunia imebadilika sana sio lazima mtu awepo physically
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.