Recent content by lajambu

  1. L

    Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Kwa Gwajima sio rahisi
  2. L

    Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    Wakiwaza vizuri nawao watoana jinsi jamii inavyowachukulia,hapa ndipo inapoanzia dhana ya "uislamu kuwa dini ya magaidi" Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Sababu kwanini kiapo cha ndoa za kikristo ni haramu katika ulimwengu wa roho

    TUSIVAE MIWANI YA MBAO,...DUNIANI HAPA,SHIDA NA RAHA NI SEHEMU YA MAISHA,NDO MAANA HATA mtoa post ataugua,aweza kufilisika,aweza kupata ulemavu,aweza kukosa watoto,,,na si wakati wote shetani ndo chanzo mala nyingi MUNGU anaruhusu hayo,..akajifunze kwa ayubu!. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Sababu kwanini kiapo cha ndoa za kikristo ni haramu katika ulimwengu wa roho

    Sio wewe unaekili biblia yenyewe imesema kuna majira ya kulia nakucheka,., kwahiyo yeye ambaye hakuweka kiapo,ndo magonjwa yakija yanapita kwa jirani,kufilisika kukija kunapita kwa jirani,na masumbufu yote yanaisha yanapita kwa jirani? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

    Wazazi awalaumu kwa lipi,umri wa mtu unatosha kuandaa maisha yake nakuyafurahia,..wazazi wanakuongoza nakusaidia utimilifu wa ndoto zako,kuandaa maisha yako ni ziada,,.umri/maisha yako ya hapa duniani yanatosha kuandaa maisha yako na kuyafurahia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

    Wakimfukuza atapiga kazi na maisha yake yatabadirika na atawashukuru baadae Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Mke wangu ananipa wakati mgumu mpaka natamani niwe nae mbali.

    MKE WAKO NIMWEMA,..MAPUNGUFU YAKE HAYASTAHIRI KUACHWA Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    Kuchepuka gharama sana

    Hata akipanga yakuchepuka haipangi...inatoka kwenye mfuko wa dharula![emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Namshauri Rais afute vitambulisho vya wamachinga

    Si ndo tuambiwe kwamba hiyo 20,000 tutakayolipia kila mwaka itakuwa KODI sio gharama yakutengeneza kitambulisho Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Namshauri Rais afute vitambulisho vya wamachinga

    KIJIJINI KWETU TUMEAMBIWA YEYOTE ANAEENDA KUUZA CHOCHOTE SOKONI IWE MCHICHA,EMBE,CHOCHOTE,alipie 20,000 apewe kitambulisho.,la sivyo muda ukiisha hakuna atakaeruhusiwa kuuza chochote sokoni bila kitambulisho!. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Rais Magufuli kwa hili la vitambulisho vya wafanyabiashara litakuangusha

    Hata kigoma nako mpka muuza mchicha analazimishwa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Mume wa mtu ananitesa

    MUOMBE MUNGU WAKO AKUPE KUSHINDA UILINDE NDOA YAKO Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom