- Thread starter
- #121
Kumbe ukiwa na hela na nguvu kifuatacho ni kuchepuka!Tatizo letu ni kuwa, uchumi ukibana tunakuwa wanafki.
Nna nguvu nna ela unategemea nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ukiwa na hela na nguvu kifuatacho ni kuchepuka!Tatizo letu ni kuwa, uchumi ukibana tunakuwa wanafki.
Nna nguvu nna ela unategemea nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen






Kilo nyingi mkuuKupoteza kilo 1 tu kwa siku ndio unajiuliza maswali yote hayo...!!!
Kweli
Ukiwa na hela hupigi hesabu u atumia tu?Ukitaka kuchepuka na huna hela ndio utapiga mahesabu hivi, ila kama hela ipo wala hutaipigia mahesabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akipanga yakuchepuka haipangi...inatoka kwenye mfuko wa dharula!Dah...inaonyesha hata haukuwa na bajeti ya kununua vitu vya sokoni....
Jifunze kupanga bajeti ya mahitaji yako...na uifuate
Sent using Beretta ARX 160
Dah...petikeshHata akipanga yakuchepuka haipangi...inatoka kwenye mfuko wa dharula!![]()
Sent using Jamii Forums mobile app



Hupigi hesabu kama utatumia hela nyingi kwenye kuchepuka, ila ukiwa huna ndio utapiga hesabu ili kumaintain bajeti yako.Ukiwa na hela hupigi hesabu u atumia tu?
Kwahio wewe mzuri?Ukiwa na hela kiasi na mwonekano mzuri kama mimi unawala kwa gharama zao wenyewe au majumbani kwao kikubwa tu wajue uwezo wa kuwapeleka popote unao ila hujaamua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.













Usicheke mkuu awamu hii lazima tujipange
Unaonekana unachepuka na vimada wa bei poa sana,wanakubali guest badala ya hotel?halafu 30,000/=,eti vinywaji 30,000/=,nacheka kama mzee mtekaji(boss) wa apocalypto alipomuokoa jaguar paw asichinjwe.