DAUDI JULIUS
New Member
- Nov 19, 2019
- 1
- 0
Ndoa ni mapatano, kupatana ni kukubaliana hata wakiondoa sentensi ya shida na raha haina,,kwangu mimi sijaona ugumu wa neno hilo, matatizo yanayozikumba ndoa ni yaleyale hayana utofauti kwani sources ni mmonyoko wa maadili, kwani ni wakristo pekee hawana maadili, wao wamejaribu kuweka wazi ili uingie unajua kabisa nje ya raha pia kuna shida.