Recent content by Lait noir

  1. Lait noir

    Dawa ya wanawake hii hapa

    Yona mdogo wangu uliwahi kufikiria maudhui ya kuanzishwa JF kabla ya kujiunga? Uliwahi kufikiria inawalenga watu gani katika jamii? Mbona mitandao ya kijamii iko mingi sana kulingana na malengo, akili na maisha ya mtu?
  2. Lait noir

    Hapa Sitii Neno

    Hii michezo mingine ni zaidi ya hatari asee, bora ingekuwa wa mwingine, wa m.k.w.e.r.e?
  3. Lait noir

    Walimu tufanye ivi kukomesha dhalau

    ndio nilitaka kushangaa aisee, labda nikajua siku hizi wamebadilisha grade za first class kwa TZ
  4. Lait noir

    Naomba msaada jamani....

    Sasa zaidi ya kuweka mapicha ya satellite hayo ungesema lina ukubwa gani na linauzwa bei gani
  5. Lait noir

    Mwampamba nani alikushauri kujiunga na CCM, unapigana dhidi ya nani?

    Ningekushauri na wewe jaribu kuwa kimya mkuu, kwa maisha ya sasa ya TZ na watanzania na kwa alama za nyakati zisomekazo hakika ni bora ukae kimya hata kama una mapenzi makubwa kiasi gani kwa CCM
  6. Lait noir

    Kufanya mapenzi na mke wa mtu au wake za watu kuna faida gani,,,,?

    Mshauri aache, mwambie kwa upole tu ila kama hataki kusikia basi mshauri awe anatembea na KY siku hizi siku yakimfika ya kumfika itamsaidia labda asiumie sana
  7. Lait noir

    Tupo Baba Wawili mtoto Mmoja.

    Wewe lengo lako hasa nini, unataka mtoto, unataka kumdhuru mama au unapenda nini hasa ili tukusaidie ushauri
  8. Lait noir

    Michezo Yetu Ya Utotoni Imepotea!

    Umesahau na mchezo wa Bong'oa!
  9. Lait noir

    Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

    Bahati yako mkuu mama yupo, mimi mama nae alishatangulia mbele za haki, huwa nawaza sana kama agekuwepo yaani. Infact nimepata uchungu mpya kabisa wa kufiwa na mama kipindi wife kafariki
  10. Lait noir

    Kwa WAZEE wa NDYOFU: NAUZA HII BIDHAA

    Ni uvivu wa kushika au ni nini sasa?
  11. Lait noir

    wanaume!!nimewanyooshea mikono

    Ila ulikiss ndio ukashuka?
  12. Lait noir

    Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

    Aksante sana Roulette, nitakuandikia vikinifika zaidi
  13. Lait noir

    Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

    kuna kusoma alama za nyakati mkuu ukifiwa, na hapo hapo umeachiwa mtoto wa wiki 2?
  14. Lait noir

    Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

    Ubarikiwe sana kwa ushauri Sinajina
Back
Top Bottom