Nadhani ni muda muafaka sasa wanaharakati wote na wajumbe wa bunge la Katiba kupigania kuhusu kipengele kinachotambua au kutamka,kuwa Wabunge wa mahakama ni wanamna gani.
Hakika hili la kuwa na Mbunge anaekuwa mwakilishi kwa shinikizo la mahakama linahitaji kutungiwa sheria.
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kujiandaa kugombea nafasi ya kisiasa, mkurugenzi wa kampuni ya Gkobal publishers Ltd Erick Shigongo leo amekabidhi gari aina ya Ambulance maalum kwa kubebea wagonjwa kwa wananchi wa Sengerema ikiwa ni ahadi aliyowahi kuitoa.
Pamoja na kukabidhi gari hilo...
Ni katika kikao cha kamati ya Wabunge wa Ccm,taarifa zinamnukuu Katibu mkuu wa Umoja wa Wanawake[UWT] wa chama hicho,Amina Makiragi akimtuhumu Lembeli na kamati yake kuwasilisha ripoti hiyo Bungeni badala ya kuipeleka katika kamati ya chama kwanza.
""Mheshimiwa Mwenyekiti""huyu Lembeli kweli...
Haswaaaa! Umenena mkuu. Tungekua na wabunge 50 tu km Mh Kangi Lugola ndani ya chama cha "mizigo" nchi hii ingesonga mbele sana kiuchumi,kisiasa na Kimaadili.
Mh Mbunge Kangi Lugola,ambae amekuwa mwiba mkali kwa Mawaziri huenda akatolewa kafara baada ya kutumiwa massege za kutishiwa kuuawa huku yeye akisema kuwa hataenda kutoa ripoti Polisi.
Hii ni baada ya mh Kangi Lugola kuwa miongoni mwa Wabunge waliotamka wazi bila kificho ndani ya Bunge kuwa mh...
Ni kweli huyu bwana anaitwa GODFREY MOLLEL ni mwenyekiti wa Mtaa ninaoishi lakini huwa ana kiherehere sana.
Nimejipanga kumngoa ktk uchaguzi ujao mwakani endapo CCM watamrudisha kugombea tena.
Huyu jamaa huwa anapenda sana kunyanyasa na kuwatishia watu haswa Makabila,lakini kwangu huwa...
Hoja yako ni ya msingi sana,ila sasa sijui km wahusika watakua wamekuelewa ama?
Ninachokijua mimi ni kwamba Hata km umekuwa wa kwanza kuchukua kadi au kujiunga ktk chama,haimaanishi kwamba wewe ni bora kuliko wengine lakini sio hivyo tu, Whalid Kaborou ni miongoni mwa Watanzania wa kwanza...
Kwa hiyo ulitegemea watu waliondaliwa wangesemaje? Mbona ni very simple sana kwamba hata Ingekua ni wewe watu wa kwenu lazima tu wangekupokea hivyo?
Tafuta habari nyingine ya kuandika hii achana nayo kwani haina tena mshiko kwa sasa.
Hao waliohojiwa ni Vichwa maji tu kwani ingekua wanaipenda...
Ni kweli amefariki leo asubuhi. Baada ya kusoma habari hizi hapa Jamii Forum,nilimpigia Mdogo wake marehemu aitwae Kipanga na simu yake ilipokelewa na mtoto wake na kuniambia baba kalala anaumwa.
Nilipomuuliza ni kweli Baba yako mkubwa kafariki akasema ndio kafa leo.nikamuuliza je alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.