Laiser James
Member
- Dec 5, 2013
- 77
- 8
Kwahiyo wakafanye burudani na wake za watu Igunga kama yeye?
Mwigulu anayo laana ya DAMU ZA WATU. kinachomsumbua ni wivu tu hakuna kingine,anatamani Mbowe awe anampeleka yeye Dubai kumpa maraha.
Kwahiyo wakafanye burudani na wake za watu Igunga kama yeye?
Kwahiyo wakafanye burudani na wake za watu Igunga kama yeye?
Wote wagonjwa, utaua chama baada ya miaka 4tu, wakumbushe pia kutumia CDM kulinda kura na afya
Ukijua maana ya budget utajua kuwa hii hoja ya mwigulu haina mshiko. Hii hela ilishawekwa kwenye budget na budget ikapitishwa kwa hiyo kwa muda huu ni ku-spend. Kusema kuwa spika asitoe hela ya michezo ni hoja iliyochelewa ulikuwa wapi wakati budget inapitishwa. Sometimes huwa hawasomi vitu na kuelewa vinapitishwa wakiwa wanasinzia wakati wa implementation ndo wanangamua makosa na kuanza kelele. Mfano mzuri ni kodi ya sim cards.
Wafanye kwa Gharama zao Hakuna Posho ya Kupakatana, wamepewa Fedha za kwenda kutumikia Wananchi mkitaka kusaliti ndoa zenu nje ya Nchi tumieni Fedha zenu hakuna ataelalamika. Mtu anajaribiwa kupewa KUB anashindwa kuwa Muadilifu akipewa u Mizengo Pinda si itakuwa Usaliti kama wa Yuda?
Muangalie tatizo lamatumizi sambamba na bajeti inayokuwa ipo. Ukweli ni kuwa wabunge hupitisha bajeti ambayo sio realistic. Wapinzani huwa wakiihoji ila wao CCM kwa kutumia wingi, kanuni pendelevu na usio utumikiaji wa spika na wasaidizi kwa wananchi. Utasia, ipiteeee.... Kinachofuata ni matumizi yasiyo na tija kwa wananchi. Mojawapo ni safari za wabunge. Ni kweli hazina msaada wote kwa walala hoi huku vijijini? Utasikia bajeti kubwa ya stationaries, posho, chai, soda, tamasha, ukarabati, magari, majumba, nk. Kama CCM wanaweka pesa ya kutumbua japo huwa kuna angalizo la wapinzani. Je hao wakiamua kuzitumbua CCM waanze kutema mate bungeni? Mwigulu asilalamike. Tatizo ni bajeti tumbua ya CCM!
This guyz!I guess this guyz(Mwigu) anaweza akapewa wizara,hasa ya mambo ya ndani,,,,na pia nadhan Januari anaweza pewa wizara kabisa,
Dodoma. Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amemwonya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuacha kutumia vibaya fedha za Serikali kwa kuwapa posho wabunge kwa ajili ya kwenda kwenye michezo nje ya nchi.
Nchemba ambaye ni Mbunge wa Iramba Magharibi alitoa kauli hiyo jana bungeni wakati akichangia Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushuru wa bidhaa ya mwaka 2013 iliyowasilishwa na Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salumu.
Mkuya katika maelezo yake alisema kuwa kodi hiyo imefutwa kwa laini za simu kwa mtu mmoja mmoja na badala yake imeongezwa katika kodi kutoka asilimia 14.5 hadi asilimia 17.
Katika mchango wake, mbunge huyo alionya kuwa kumekuwa na tabia ya kutumia vibaya fedha za umma jambo alilosema linaanzia ndani ya bunge.
Naomba tukubaliane katika kubana matumizi, na hivyo ninakuomba Mheshimiwa Spika tuanze na ofisi yako achana na kutoa fedha kwa kuwapa wabunge kwa ajili ya kwenda Dubai kwa burudani,alisema Nchemba.
Alisema umefika wakati ambao Serikali inatakiwa kufanya uamuzi wa kutumia fedha katika mambo muhimu ambayo yanaigusa jamii kuliko mambo ambayo hayana maana. Kwa upande mwingine aliwalaumu watendaji kuwa wameiangusha Serikali ya Chama Cha Mapinduzi kwa kushindwa kutoa ushauri na usimamizi mzuri katika makusanyo ya kodi.
Kwa upande wake Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia aliinyooshea vidole Serikali kuwa ndiyo iliyovuruga mchakato mzima wa makusanyo ya kodi ambayo muswada wake ulishapitishwa.
Mbatia alitoa sababu kuwa ndani ya Serikali wamekuwa wakiamua mambo lakini kwenye utekelezaji wake wanagawanyika.
source : Mwananchi Jumapili :
ni kweli mkuu hawa jamaa wameoza, si umesikia ya Kapuya?Wote wagonjwa, utaua chama baada ya miaka 4tu, wakumbushe pia kutumia CDM kulinda kura na afya