WanaJF,
Bwana Pinda amekuwa na kauli nyingi zenye utata, lakini hiyo tu inaonyesha jinsi nchi ilivyo na umasikini wa uongozi. Kwani hii si mara ya kwanza kwa viongozi wa kuongea irresponsibly, mmewasahau kina Mramba(watanzania watakula majani), Msuya( kila mtu ataubeba mzigo wake), Chenge...