Eti JK akishinda atamteua Lowasa kuwa PM?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti JK akishinda atamteua Lowasa kuwa PM?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Laibon, Sep 21, 2010.

 1. Laibon

  Laibon Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba kutoa hoja;
  Kama JK akishinda urais basi ni budi Lowawa awe waziri mkuu kwani alionewa kushinikizwa kujiuzulu.
  Wote mnafahamu kuwa hakuna mtu amechukuliwa hatua kwenye RICHMOOND saga- wote wako huru wamesafishwa bungeni na hata, wanapeta kwenye wakiomba kura majimboni kwao na huenda wakashinda kwa kishindo.
  Nasema hivi kwasababu ni juzi tu JK alikuwa Monduli na aliambia umma hajawahi ona mchapakazi kama Lowassa. Sasa kama rais na bunge limesafisha, JK akiingia madarakani itakuwa vyema huyu mchapakazi awepo. Lowassa ni mchapakazi,ni jasiri na mwenye maamuzi na hilo halina ubishi, tatizo kubwa ni kwamba amekula sana kuliko wenzake ndio maana hata CCM wenziwe walimkaanga bungeni, lakini si asilimia kubwa ya wana CCM na watendaji wa serikali ni walaji? Hili wote mnalikubali, sasa Lowassa ana kosa gani mbele ya wanaCCM wenzake? Eti amekula sana? Labda mikono yake ni mipana, na kinywa chake kikubwa kiasi kwamba anaweza kula chapati bila kukunja, kwanini asile sana???!
  Kama JK akipita namshauri aachane na Pinda, hana ujasiri na sio thabiti kama Lowassa.

  Kama wote ni walaji basi tumchague mlaji mchapakazi basi angalau tutaambulia kimoja!
  Natoa hoja:eyebrows:
   
 2. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Naomba hoja hii isiendelee kuchangiwa ili kulinda Heshma ya Jukwaa pamoja na Jamvi hili. Nanukuu kutoka kwa MUTU "Mpuuzi dawa yake ni Kumpuuza". N kwa taarifa yako Hakutokua na Kikwete, lowasa wala CCM hapo october. Narudia tena "Watanzania tusicheze KAMARI tarehe 31 october".
   
 3. Laibon

  Laibon Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiwe mtu wa kukurupuka - read between the lines, dont read lines! Usikurupuke kama Makamba:mad2:
   
 4. p

  pierre JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watz mkifanya kosa walillolifanya wayahudi la kutaka afunguliwe baraba na Yesu asulubishwe shauri yenu,leo hakuna amani mashariki ya kati kwa laana walizojitakia wenyewe.Mkombozi amepatikana kama mtamwua kwa kumnyima kura oct 31 ni juu yenu msimlaumu Mungu wala msitake awaondoe kwenye matatizo yatakapoanza baada ya kumnyima aliyetumwa kutukomboa.
   
 5. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ole wao mayahudi, CCM na pilato JK.
   
 6. P

  Penguine JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ndugu Laibon hili la Lowasa kuteuliwa PM mbona limeshazungumzwa asa humu JF na wala sio siri.
   
 8. minda

  minda JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kama wewe ni laibon kweli, na EL ndiye mkuu wenu ktk baraza la wazee (laibon) wa kimasai linalojulikana kama malalaigwan, basi utakuwa umeingia kwenye mkenge wa ukabila ambao kwa bahati mbaya sana kwa sasa hauna nafasi nchini tanzania.
   
 9. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Lowassa ana laana.
  Nyerere alimkataa kwa sababu ya uchafu aliokuwa nao.
  Na kuthibitisha kuwa lowassa ni casted person , hakudumu kwenye uwaziri mkuu.
  Akiteuliwa tena sasa, atakumbwa na aibu kubwa kuliko ile ya mwanzoni.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ipeleke kwenye jukwaa la utani... saizi watu wako sirias zaidi
   
 11. Laibon

  Laibon Member

  #11
  Sep 21, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bwana au bibi minda- ukabila unatoka wapi hapo? Inaonekana wewe ni mkabila ndio maana reaction yako imekupelekea mawazo ya ukabila:smile-big:
   
 12. minda

  minda JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  :eyebrows: ipeleke kwenye jukwaa la utani... saizi watu wako sirias zaidi (naungana na Acid).
   
Loading...