my brother you are not serious with intergret how can you support something which sounds nonsense in our society? Umewahi kumsikia lowassa akitukana au kumsema mtu vibaya? Don't triumph when the devil is ruling the country the national ellection committee has to be fair.hatari hawa polisi wetu...
Mimi nipo illinois marekani hivi sasa ni saa tatu na dakika 27 asubuhi nipoandika text hii huku
ni lowassa kama
wangeturuhusu kupiga kura ccm ingepata asilimia mbili au tatu tu kwani
hatuwezi kukubaliana na ujinga wa ccm kuendelea kuwafanya watanzania mbumbu ili uwe mtaji
wao wakati wa...
Warioba hawezi kueleweka kwa watanzania maana hao ccm walisema kuwa anazeeka vibaya na hana
la kuwaambia maana wakati ule siyo sasa.walimwambia akapumzike kuwa yeye ni tatizo na mwaribi
wa nchi leo wanaweza kumwamini wati walishamkataa hadi kumpiga?
Wewe unaonekana hujui kusoma kingereza ndio maana unashabikia waraka huu ni mbaya sana alioandika kinana
utasababisha madhara makubwa sana kwa watanzania wataanza kunyimwa visa za marekani
lazima kinana ashitakiwe
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm...
Huyo mtoa taarifa alishindwa kutengeneza uongo wa kuweza kushawishi wasomaji maana hata mtoto mdogo atasema huu ni uongo wa kitoto
jitahidi kutunga uongo mpya
Hakuweza ku-perform vizuri kukamata meli ya nje bila utafiti na kuingizia taifa hasara ya bilioni 2
kushindwa kulipa pesa za wakandarasi na kusababishia taifa deni la bilioni 900 sasa ame perform wapi
vizuri. Watu mnaongea bila kufanya utafiti na wala hamjui maana ya kufanya vizuri.aliachisha...
Mwadilifu ni lowassa aliyekubali kujihudhuru kwa ajili ya kuikoa serikali na chama chake.
Tusichague ccm maana wamemaliza tembo wote wameingiza nchi kwenye ufukara na kuwasababishia watanzania maisha magumu yasiyoelezeka
tumeiamini miaka 53 hatuwezi tena kurudia kosa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.