Picha; Mwigulu atikisa kwenye Ardhi ya Wamasai, Operation Kata kwa kata inazidi kuipatia Kura za CCM

ukwelinauwazi

Member
Nov 24, 2014
71
91
12036905_430927110442856_6921933778456533235_n.jpg
Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi Ndg.Mwigulu Nchemba akiwasili Jimbo la Simanjiro na kupokelewa na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo hilo Ndg.Ole Sendeka mapema hii leo.
11059903_430927090442858_6669654298054949432_n.jpg
Mwigulu Nchemba akimnadi Ole sendeka kwa wananchi wake,Kubwa ni Ujasiri wa Ole sendeka kwenye kutetea maslahi ya taifa,Ufuatiliaji wa Miradi ya maendeleo kama barabara zinazokwenda kujengwa kwa kiwango cha rami kuunganisha na mikoa inayopakana na SImanjiro.
12074830_430927220442845_5827432687429168397_n.jpg
Ole Sendeka akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Engesbert kuhusu Ilani ya CCM na maendeleo ya Jimbo la SImanjiro.Kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi Jimbo la Simanjiro linakwenda kujengwa barabara za Rami Zaidi ya Tatu za kutoka Arusha,Mererani na Dodoma na ile ya Babati kwenda Simanjiro.

Mbali na hilo,Uboreshaji wa Mfumo wa majini na Uchimbaji wa Visima ndio kipaumbele cha kwanza kwa Ole sendeka kwa Wananchi wa Simanjiro.
12088070_430927273776173_2312520691760366851_n.jpg
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Namalulu Jimbo la Simanjiro.
12096429_430927307109503_7845983191316203008_n.jpg
Twende na Magufuli popote alipo.
12047039_430927360442831_799143983539187046_n.jpg
Wananchi wa kata ya Namalulu wakionesha Umoja wao kuichagua CCM kwa nafasi za Udiwani,Ubunge na Urais katika Uchaguzi wa October 25 Mwaka huu.
12039398_430927377109496_4280090788612599173_n.jpg
Mwigulu Nchemba akiagana na Wananchi wa kata ya Namalulu.
11206950_430927427109491_1873562247824528232_n.jpg
Vijana wa Kimaasai "Molan" wakiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Mwigulu Nchemba kata ya Loibosoit.
12019918_430927460442821_7414475411083313476_n.jpg
Mwigulu Nchem akiwasili kata ya Loibosoit kwaajili ya kumuombea Kura Rais ajaye wa awamu ya tano Ndg.J.Pombe Magufuli,Mbunge na Diwani wa Chama cha Mapinduzi.
12063576_430927663776134_2718526028619685786_n.jpg
Wananchi wakiiitikia kuwa chaguo lao ni "kazi tu" wakimaanisha Magufuli kwa nafasi ya Urais.
12075034_430927930442774_5461985511154776917_n.jpg
Wananchi wakimsikiliza Miwgulu Nchemba.
12096263_890286927691799_3900132592325402681_n.jpg
wananchi wakichukua kumbukumbu za Mkutano wa hadhara wa Mwigulu NChemba wa kuinadi Ilani ya CCM.
11063785_430928087109425_3313037471155163839_n.jpg
Mwigulu Nchemba akiondoka kata ya Loibosoit.
12096438_430928133776087_2183624369348236849_n.jpg
Hatimaye Mwigulu Nchemba akawasili Jimbo la Kondoa Vijijini kata ya Kolo kuinadi ilani ya CCM.
12065532_430928210442746_2556719952396797126_n.jpg
Wananchi wa kata ya Kolo wakishangiliwa ujumbe wa Mwigulu Nchemba kwao kuwa "CCM imeamua kumleta Magufuli kwenye Nafasi ya Urais ili Mafisadi na Walarushwa wakimuangalia waseme sasa rushwa basi,Lakini pia kwa wazembe waanze kujiandaa kutafuta kazi ya kufanya kama hawatabadilika kwenye serikali ya Magufuli"
12063618_430928363776064_2176044756286206433_n.jpg
Mwigulu Nchemba akimnadi Diwani wa kata ya Mondo jimbo la Chemba Ndg.Sambala.
12096438_430928400442727_7568546394786115368_n.jpg
Wananchi wa Mondo wakimsikiliza Mwigulu Nchemba kwa makini,Kuwa mabadiliko mazuri ya ya maendeleo sio vyama.Amewaomba wamchague Sambala aendelee na ujenzi wa kituo cha Afya cha kata ya Mondo,Lakini mradi wa maji mkubwa umeshaanza kufanya kazi.
12088288_430928500442717_2782852438377856480_n.jpg
Mwigulu Nchemba akiondoka kata ya Mondo jioni ya leo.
12046708_430927060442861_7397059603930047048_n.jpg
Mwigulu Nchemba akishangiliwa mara baada ya kuwasili kata ya Kibaya Jimbo la kiteto.
12074943_890287624358396_2656371132433398326_n.jpg
Mwigulu "Nawaonya wote wanaofanya siasa zisizo za kistaarabu,Vyama vya siasa vipo kikatiba na Mikutano yake ipo kikatiba na Mavazi ya kila chama yapo kikatiba,Nawaombeni kama mkutano sio wa chama chako ila unapenda kwenda kusikiliza kinachozungumzwa jitahidi uwe mvumilivu,Ukianza kubishana na wenye mkutano unajitafutia matatizo"
12032173_890287461025079_4751539124007447832_n.jpg
CCM imemleta Magufuli kwa malengo,Kama Taifa tunataka kukomesha swala la Rushwa,Kukomesha Utendaji wa kimazoea na Mbovu,Kukomesha Matapeli wanaotoa mbole na pembejeo mbovu kwa wakulima na wafugaji,Mtu sahihi anayeweza kushughulika na watu hao ni Magufuli tu.Nawaombeni mkamchague Magufuli kwa Maendeleo ya kweli ya taifa letu".
12036905_430927150442852_2025758780483180228_n.jpg
Mamia ya Wananchi wa Kiteto kata ya Kibaya wakimsikiliza Comrade Mwigulu Nchemba jioni ya leo alipofika Kumnadi Mbunge mtarajiwa Ndg.Papian wa Chama cha Mapinduzi.
12075093_890287731025052_1468971253091710710_n.jpg
Mkutano wa Mwisho kwa leo,Mwigulu Nchemba anamalizika kata ya Matui Jimbo la Kiteto.Anawasisitiza Wananchi kuunganisha nguvu zao kumpigia kura Magufuli kwa Urais,Ubunge na Udiwani pia uende kwa CCM.Ilani inayotekelezeka kwa Jimbo la Kiteto na Nchi nzima ni ya chama cha Mapinduzi.
Picha na Sanga Festo Jr.
 
MiCCM kwa ukabila bana!!! Kwani ni nani alisema Wamasai wooote wana Muunga mkono Lowassa!? Hata Mtoa post ana taka kutuaminisha kuwa kuna Wamasai wana mkubali Magufuli!? Kwani hilo ni laajabu!? Amakweli Udini, Ukabila na Ushenzi woote unaanzishwa na kulelewa na CCM.
 
Ukwekinauwazi Asante kwa habari picha, kama kawaida, kampeni zetu Hakuna kuahirisha kwa sababu yoyote ile, tumejipanga na Vitu vinaenda kwenye mstari, maana huwezi kufanya kitu chochote bila utaratibu. #HapaKaziTu

Wengine Leo wamefika sinza wamesalimia dakika moja wakapita
 
MiCCM kwa ukabila bana!!! Kwani ni nani alisema Wamasai wooote wana Muunga mkono Lowassa!? Hata Mtoa post ana taka kutuaminisha kuwa kuna Wamasai wana mkubali Magufuli!? Kwani hilo ni laajabu!? Amakweli Udini, Ukabila na Ushenzi woote unaanzishwa na kulelewa na CCM.

Sio lazima utoe comment kila post inayoandikwa, ccm inayotuhusu tumeielewa, kama vipi KIMBIA AIBU, RUDI CCM
 
Hugo ndo kijana Mwiguru anayewapa shida Ukiwa ..hakika CCM wanajua, mtu mmoja anateka hisia na kusanya kijiji kozima mpaka akina mama, nawapongeza sana ndugu zetu maasai kwa kuwapiga chini mafisadi wa Ukiwa.
 
ukwekinauwazi asante kwa habari picha, kama kawaida, kampeni zetu hakuna kuahirisha kwa sababu yoyote ile, tumejipanga na vitu vinaenda kwenye mstari, maana huwezi kufanya kitu chochote bila utaratibu. #hapakazitu
wengine leo wamefika sinza wamesalimia dakika moja wakapita

ccm wote wameshajua kuwa mwaka hawawezi kushinda ndo maana wamebaki tu kujipa moyo ila ukweli wanaujuwa wazi kwamba mwaka huu rais ni lowassa
 
MiCCM kwa ukabila bana!!! Kwani ni nani alisema Wamasai wooote wana Muunga mkono Lowassa!? Hata Mtoa post ana taka kutuaminisha kuwa kuna Wamasai wana mkubali Magufuli!? Kwani hilo ni laajabu!? Amakweli Udini, Ukabila na Ushenzi woote unaanzishwa na kulelewa na CCM.

sababu kuu ya watu kuikimbia chadema ni udini na ukanda!
Mgombea wenu wa uraisi atakosa kura sehemu nyingi kutokana na hilo!
Pamoja na kuwa na sera mbovu, lakini image ya jumla ya chadema haijengi sura kamili ya utaifa, kauli za Lowasa juu ya Walutheri, team ya juu ya chadema kubebwa na watu wa arusha na kilimanjaro ni vitu vinavyoleta utata sana ktk kufikia maamuzi ya kuipigia kura chadema.
 
we ---- tu. lofa wa ukweli. imekuuma sana unavoona wamasai wanamkubali magufuli. kwa taarifa yako hiyo ni kata kwa kata. ingekuwa mkutano wa jimbo zima ingekuwaje. ndo upige hesabu apo!! mnaishia kuota tu et lowasa rais wakat mnapita mijin tu. mgombea wenu anashinda kutwa dar. na dar yenyewe hawez kupata hata 50%. Hapo ndo uelewe maana ya ccm kushinda kwa zaid ya asilimia 65%.
 
sababu kuu ya watu kuikimbia chadema ni udini na ukanda!
Mgombea wenu wa uraisi atakosa kura sehemu nyingi kutokana na hilo!
Pamoja na kuwa na sera mbovu, lakini image ya jumla ya chadema haijengi sura kamili ya utaifa, kauli za Lowasa juu ya Walutheri, team ya juu ya chadema kubebwa na watu wa arusha na kilimanjaro ni vitu vinavyoleta utata sana ktk kufikia maamuzi ya kuipigia kura chadema.

Wameunda dude kama chama cha ushirika eti wanaita chama cha siasa, hivi chama cha siasa hakina hatà sura ya utaifa? Mfano angalia utaifa tunaousema, CCM- M/ kiti mash, k/ mkuu kask, mgombea k.ziwa, m.m/kiti kusini juu. Njoo kwa CDM, M/kiti kask, mgombea kask, n.k/mkuu kask, mpambe kask, m/hazina kask, mwenye chama kask, m/wadhamini kask. Hawa ndo Ukawa ..kusini? magh? kati? mash?
 
Wananchi wa Simanjiro.
12074943_890287624358396_2656371132433398326_n.jpg
Mwigulu "Nawaonya wote wanaofanya siasa zisizo za kistaarabu,Vyama vya siasa vipo kikatiba na Mikutano yake ipo kikatiba na Mavazi ya kila chama yapo kikatiba,Nawaombeni kama mkutano sio wa chama chako ila unapenda kwenda kusikiliza kinachozungumzwa jitahidi uwe mvumilivu,Ukianza kubishana na wenye mkutano unajitafutia matatizo"
12032173_890287461025079_4751539124007447832_n.jpg
CCM imemleta Magufuli kwa malengo,Kama Taifa tunataka kukomesha swala la Rushwa,Kukomesha Utendaji wa kimazoea na Mbovu,Kukomesha Matapeli wanaotoa mbole na pembejeo mbovu kwa wakulima na wafugaji,Mtu sahihi anayeweza kushughulika na watu hao ni Magufuli tu.Nawaombeni mkamchague Magufuli kwa Maendeleo ya kweli ya taifa letu".
12036905_430927150442852_2025758780483180228_n.jpg
Mamia ya Wananchi wa Kiteto kata ya Kibaya wakimsikiliza Comrade Mwigulu Nchemba jioni ya leo alipofika Kumnadi Mbunge mtarajiwa Ndg.Papian wa Chama cha Mapinduzi.Mkutano wa Mwisho kwa leo,Mwigulu Nchemba anamalizika kata ya Matui Jimbo la Kiteto.Anawasisitiza Wananchi kuunganisha nguvu zao kumpigia kura Magufuli kwa Urais,Ubunge na Udiwani pia uende kwa CCM.Ilani inayotekelezeka kwa Jimbo la Kiteto na Nchi nzima ni ya chama cha Mapinduzi.
Picha na Sanga Festo Jr.

Wanasema picha huzungumza yenyewe jamaa mpaka kachanganyikiwa. Wengi wa wasikilizaji hapo nyuso zinasomeka.
 
Back
Top Bottom