Elections 2015 Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!!

meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,119
2,000

Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995?

Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi.

Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja wa askari wa miamvuli just from nowhere?

Ilikuwaje kamati ya maadili ya CCM ikakubaliana kuja na jina la Magufuli kwenye tano bora ya CCM mwaka 2015 bila kujali mbwembwe za watia nia wakongwe na wakiojinadi kwa mbwembwe kwa miaka zaidi ya sita?

Ilikuwaje Magufuli akaweza kuepuka scandals za kumuangusha kama Waziri katika kipindi kilichokumbwa na scandals nyingi?

Inakuwaje au ilikuwaje Magufuli ameweza kuhimili mikikimikiki ya wizara zote alizopelekwa na kuibuka hero?

Unapojiuliza maswali haya ni lazima ujiulize ni nani hasa aliyemuibua John Pombe Joseph Magufuli.

Pia ni lazima umuheshimu aliyemuibua the coming president of URT.

Isitoshe ni muhimi kumuheshimu au kuheshimu chombo kinachoibua watu wa namna hii!
 
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,536
1,195
CCM ni chama kubwa.

CCM ina uwezo siyo wa kuongoza tu bali hata kutambua vipaji na uwezo wa vijana/wazee katika kulitumikia taifa.

Hata hao wanaojaribu kupambana na Magufuli katika uwanja wa siasa wanafahamu vizuri Tanzania ya sasa inahitaji uongozi wa mtu mwenye kipaji na uwezo kama Magufuli.

Kwa sasa wamebakiwa na hoja zinazosema, tatizo siyo Magufuli baada ya CCM kumteua Magufuli kuwa mgombea Urais.

Hana makandokando ya kimaisha na kiutendaji. Hachafuki hata ukitaka kumchafua.

Huyu ndiye Magufuli aliyeiburiwa na CCM.

Hii hapa picha yake akinadiwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza na Mzee Mkapa.

Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
35,708
2,000
Madenge Origino

Madenge Origino

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,791
2,000
Hivi wale "samaki wa magufuli" wameishia wapi? mwenye kujua atujuze tafadhali
 
Bramo

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,211
2,000
Huu unafiki huu
Nani hajui Kuwa Magu was neither Prepared for this post.
It just came Ku Neutralize Hasira za kukatwa kwa Eddo against Kupendelewa Member.
Nani hajui kuwa mtu alitaka Mdogo wake ndo apeperushe Bendera ?
All in all,Raisi wenu ni ENL mtake mistake.
Kama vp jiandaeni kuhama nchi
 
P

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,250
Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.
 
Chura wa Sinagogi

Chura wa Sinagogi

Senior Member
Oct 8, 2014
149
250
Hivi wale "samaki wa magufuli" wameishia wapi? mwenye kujua atujuze tafadhali
waliishia mezani wakaliwa......jaman hembu ulizeni vitu kama mpo timamu hizo bangi za kugongea haziwafai hata kidogo
 
mfungwa

mfungwa

JF-Expert Member
May 23, 2015
1,291
1,250
Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.
Hana kisaikolojia ni mtu mwema Trust me. Au uliza psychologist aliye karibu. Lowasa mm ni nature kali sanasana sio kishabiki bali ni watu wale wakali kama simba. Mfano Iddi Amin na lowasa kitu kimoja. Uliza psychologist jirani atakusaidia.
 
Attachments

M

Masonjo

JF-Expert Member
Aug 8, 2010
2,724
1,195
Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995?

Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi.

Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja wa askari wa miamvuli just from nowhere?

Ilikuwaje kamati ya maadili ya CCM ikakubaliana kuja na jina la Magufuli kwenye tano bora ya CCM mwaka 2015 bila kujali mbwembwe za watia nia wakongwe na wakiojinadi kwa mbwembwe kwa miaka zaidi ya sita?

Ilikuwaje Magufuli akaweza kuepuka scandals za kumuangusha kama Waziri katika kipindi kilichokumbwa na scandals nyingi?

Inakuwaje au ilikuwaje Magufuli ameweza kuhimili mikikimikiki ya wizara zote alizopelekwa na kuibuka hero?

Unapojiuliza maswali haya ni lazima ujiulize ni nani hasa aliyemuibua John Pombe Joseph Magufuli.

Pia ni lazima umuheshimu aliyemuibua the coming president of URT.

Isitoshe ni muhimi kumuheshimu au kuheshimu chombo kinachoibua watu wa namna hii!
Conclusion ya yote haya ni Mungu, Mungu ndio upanga makusudio yake kupitia mtu, njia hii aliyopita ndio ilikuwa njia aliyopangiwa kufika juu.
 
Savimbi Jr

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
4,704
2,000
Hii ndio ccm nayoijua Mimi, enzi Hizo viongozi wamechoka hasa mcheck magufuli na mkapa yaani wamechakaa nguo za magufuli utadhani zimetoka mdomoni mwa ng'ombe.........
 
L

Lagossa

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
301
0
  • Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm Pekee. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyeeeeee. Samahani kama utakwazika Lkn Tunaonesha Uzalendo Kwa Taifa Letu LA miaka 54 ya Uhuru likipitwa Na Kenya iliyochelewa kupata Uhuru kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, Katiba Mpya, Na hata Rwanda iliyotoka vitani inatupita sisi tuliojaliwa rasilimali adimu duniani.​ 
Uso wa nyoka

Uso wa nyoka

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
4,802
2,000
Hii ndio ccm nayoijua Mimi, enzi Hizo viongozi wamechoka hasa mcheck magufuli na mkapa yaani wamechakaa nguo za magufuli utadhani zimetoka mdomoni mwa ng'ombe.........
Wakati huo ulikuwa bado Moxico au ulishakuja bongo?
 
Top Bottom