Recent content by LAELA BOY

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kizazaa jimbo la Kwela Mkoani Rukwa

    Mbunge wa jimbo hilo ndg. Ignus Malocha ameonja joto la jiwe katika tarafa ya LAELA na LUSAKA Baada ya kuzomewa na kuambiwa yeye hawamtambui kama mbunge wa eneo hiloo! na wsnanchi wengi mno zaidi ya 135 kurudisha kadi za ccm na wamefika mbali zaidi kusema "TANGANYIKA KWANZA mengine baadae.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kongamano la vyuo vikuu dsm limeairishwa

    Wajinga nyie! Msomi wa chuo kikuu unanunuliwa kwa wali? Wapuuuzi wote nyie.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Gambia kuachana na Kiingereza

    safiiiiiiii
  4. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watoa siku tatu kwa Rais Kikwete. Nape asema Rais hatafuta kauli bali ataongeza nguvu

    Nape hajielewi, jk kama rais yeye hapaswi kutamka vile. IPO SIKU YATATIMIA
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu:baada ya Rasimu ya pili na bunge la katiba kuanzaWASOMI wajadili muundo wa serikali unaofaa

    usomi siokuwa na vyeti vingi nyumbani kwako mjinga wewe, hivi wewe kwa akili yako ilivyofupi unajua kwamba wale walikuwa ni wasomi??? Yale yalikuwa ni Magamba tu, nawalikuja kuwahadaa watz tu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu:baada ya Rasimu ya pili na bunge la katiba kuanzaWASOMI wajadili muundo wa serikali unaofaa

    wasomi gani wajinga namna ile, kweli huu muda wote mpaka inatoka rasimu ya 2 na sasa ni bunge la katiba? Wale wote ni wanaCCM Walioamua kujivika gamba la usomi, kumbe vivulii tu vimekuja kuwahadaa waTZ kwamba wao ni wasomi kumbe ni miccm, ku...dadake zao.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu:baada ya Rasimu ya pili na bunge la katiba kuanzaWASOMI wajadili muundo wa serikali unaofaa

    Wale walikuwa ni wapuuzi tu! Makamanda mimi nasema hv, bila serikali 3 ni bora tusiwe na muungano wa kijinga namna hii. Patachimbika
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mdogo Kalenga: Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura Feb 14, 2014

    Makamanda kilalaheri, 2po pamoja sana.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jordan lecturer aleta majanga kwa mwaka wa tatu$#!!!

    Kazi kwenu, Unganeni ndgu pamoja huo ni upuuzii
  10. L

    JamiiForums Tanzania Sababu zangu za kutotoa pole/rambirambi kwa msiba wa mh. Mgimwa

    mleta thread kanifurahisha sana, aliposema ikiwezekana pinda akatibiwe LAELA, Hapo ndo scan kwetu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

    Watajibeba mwaka huu, ngoja wamsimamishe NYANI WASSIRA
  12. L

    JamiiForums Tanzania JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

    Kamuulize Nape ndo anamajibu sahihi, magamba washaambiwa wajiandae kufa na kuzikwa kisaikologia 2015.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Wanyongwe hao! Wametumwa na kinana.
  14. L

    JamiiForums Tanzania CCM Bunda kutoa form za kugombea bure

    Majanga
Back
Top Bottom