Kizazaa jimbo la Kwela Mkoani Rukwa

Kizazaa jimbo la Kwela Mkoani Rukwa

LAELA BOY

Senior Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
149
Reaction score
24
Mbunge wa jimbo hilo ndg. Ignus Malocha ameonja joto la jiwe katika tarafa ya LAELA na LUSAKA Baada ya kuzomewa na kuambiwa yeye hawamtambui kama mbunge wa eneo hiloo! na wsnanchi wengi mno zaidi ya 135 kurudisha kadi za ccm na wamefika mbali zaidi kusema "TANGANYIKA KWANZA mengine baadae.
 
Hata igunga walirudisha kadi, baadhi ya wananchi hawaaminiki
 
mbunge wa jimbo hilo ndg. Ignus malocha ameonja joto la jiwe katika tarafa ya laela na lusaka baada ya kuzomewa na kuambiwa yeye hawamtambui kama mbunge wa eneo hiloo! Na wsnanchi wengi mno zaidi ya 135 kurudisha kadi za ccm na wamefika mbali zaidi kusema "tanganyika kwanza mengine baadae.

baada ya kuipata tanganyika tunaanzisha kaskazini kwanza, wengine mtwara kwanza na gesi yetu(gesi haitoki kusini) ni yawanakusini tuu?? Hakika zambi ya ubaguzi hayaitatuacha
 
kwani yeye anaunga serikali mbili au tatu kwasababu ndani ya chama kuna msimamo wa chama na wa makada wao wanatofautiana kimisimamo
 
baada ya kuipata tanganyika tunaanzisha kaskazini kwanza, wengine mtwara kwanza na gesi yetu(gesi haitoki kusini) ni yawanakusini tuu?? Hakika zambi ya ubaguzi hayaitatuacha

Kwa hiyo kwa akili yako mtu akisema Tanganyika kwanza ni ubaguzi? si nafuu hii ya kutamka kuliko ile ya mtu anaetoka Bara kule Zanz. Kutakiwa kuwa na hati ya utambulisho na hata leseni ya udereva ya Bara haitambuliki kwani ukiwa huko unapewa leseni kama mgeni.
 
Hili jimbo la kwela raia wake ni Vilaza hata sijawahi kuona ktk hii dunia, mana Malocha hana analojua zaidi ya kifipa cha kwao.
 
Sio vizuri walivyofanya au kwakua mzee wa watu ni mlemavu??!... Nadhani watakua wanalikumbuka jembe Leo Chrisant majiyatanga
 
baada ya kuipata tanganyika tunaanzisha kaskazini kwanza, wengine mtwara kwanza na gesi yetu(gesi haitoki kusini) ni yawanakusini tuu?? Hakika zambi ya ubaguzi hayaitatuacha

Propaganda zenu tumesha zizoea hazitutishi tunataka Tanganyika.Mbona Zanzibar ipo na hilo la kasikazini kwanza wala kusini kwanza halijatokea.
 
Wananchi wamechoshwa na harufu za CCM iliyokufa.
 
Back
Top Bottom