Recent content by LadySwa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa na tabia ya Dr. Mengi ya kuwaita walemavu kila mwaka

    Wabongo mnaboa sana ,mnapenda kutoa madomo yenu kila mahali wewe ulitaka awafungulie account kila mlemavu,mbona juzi yule mdada aliyeokotwa kibamba mmemuanika uchi mpaka kumuingiza kwenye gari mbona hamkulalamika afunikwe hata kanga au hata afunikwe kwa magazeti kama hakuna kanga.mchuuuuuuu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mashine za matofali ya perving

    Wajenzi, naweza wapi kupata mashine ya kutengenezea perving? Je! Ni rahisi kununua kiwandani au kutengeneza mwenyewe? Natanguliza shukrani.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    sasa wewe uliyeanza na mil.5 kwahiyo sasa unazo mia moja au? Na pia aliyenunua viwanja vyake 2 Tegeta mwaka 1990 wataka kuniambia kwa sasa anaweza kukinunua au angeshindwa kabisa ?na watu wote Dar hawawezi kujenga O.Bay.Usijekuwa kama watu flani wanafika ulaya na kuwauliza wengine kwanini...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuweka umeme nisaidieni.

    nyumba yangu ipo Tegeta nataka kuweka umeme wa Tanesco natakiwa kuweka nguzo 2 na kununua Ground cable anayejua gharama zake tafadhali anijuze .
  5. L

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya bei nafuu

    Bunju hakuna kiwanja cha mil.5 asikudanganye mtu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mnaotoka Mombo, Lushoto-hili tunda linaitwaje?

    Kwakifupi linaitwa Tunda nyota.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Viwanja na mashamba yanauzwa

    usikufuru.mwenye pesa asiye nazo wote njia moja na ndio maana mungun kaumba warefu na wafupi.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kukosa ustaarabu!

    Jamani hapa ni wapi?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    Mtanganyika mimi nipo kwenye avatar yako mbona kama hii sehemu nishapita hapo?samahani kwa kuwa nje ya topic
  10. L

    JamiiForums Tanzania Water tanks na kutengeneza kisima

    Buguruni sehemu gani,manake Buguruni kubwa
  11. L

    JamiiForums Tanzania Water tanks na kutengeneza kisima

    Ndugu yangu ungesema hilo mapema nisingeuliza mara 2,Buguruni sehemu gani na hiyo ya lita 5000 wanauzaje?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka umeme wa jua SOLA

    Wakuu karibuni 1 kampuni gani ni mabingwa wa kuweka umeme wa jua na kwa bei nzuri .2 Nahitaji taa 15,tv,redio na friji hii itagharimu sh ngapi?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Water tanks na kutengeneza kisima

    Wakuu nashukuru kwa michango yenu.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Water tanks na kutengeneza kisima

    Ningependa kufahamu bei ya poly tank.tafadhali lita 5000.na lita 10000
  15. L

    JamiiForums Tanzania Water tanks na kutengeneza kisima

    Wakuu salaamaleikum.Naomba msaada wa hili.kwa wanaokaa Dar mwenye uzoefu atusaidie kipi nafuu Kutengeneza kisima cha maji au kununua Water tanks.Karibuni
Back
Top Bottom