Viwanja na mashamba yanauzwa

mkuu, ilo shamba.la vikindu unaweza kuuza kwa vipande kidogo kidogo, kuanzia eka moja?
 
Wenye mkataba na mwenyezi mungu wa kuishi maisha marefu wachangamkie...wengine tunahangaikia hela ya kula tu hapa duniani.
 
usikufuru.mwenye pesa asiye nazo wote njia moja na ndio maana mungun kaumba warefu na wafupi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom