kumbe kuwa na KIMADA ni jambo la kawaida au ufahari. baba mwenye mke na mtoto unaweza kuandika maneno hayo bila kuwa na hofu? kama umeweza kuwa na huyo kimada mtimizie yote anayotaka, MGEUZE tu maana hata kuwa na KIMADA ni laana hakuna kosa kubwa na dogo. SHAME ON U
mmmh kazi dunia hii... kuna makubwa wee funga naye ndoa ulivyokuwa unapita mlango wa uani ulitegemea nini kama kachanga kakijia huko hapo thatha. nimepamiss hapa jf kumbe kuna vituko mbavu zangu mie
mmmh pole dada angalia mtoto wako achana na hawa jamaa atakuumiza kichwa chako bure. wengi tumepitia huko na tuko kwenye matatizo hayo kama una mtoto au watoto tafuta namna ya kufurahi na watoto wako.
asante sana kwa heshima hiyo uliyotupa kweli wewe ni baba bora. endelea kupata bless tele na tele ni wachache tu wanaojua thamani ya akina mama au wake zao.
sasa unafikiri ikiwa gf wake ana wivu atakubaliana na jambo hilo. Yaani mimi nikijua umempigia simu mtu wangu unashida na mawasiliano yangu unayo wewe na yeye mtanitambua walaaaaaaaaai .
ulimgegeda siku ngapi? Siku uliyofika usiku kucha ? Kesho yake maana ulikuwa hujakata ticket ya kurudi mbeya sasa hizo siku zote mbili hukuona kama unaweza badili mawaza. Mtu kama hujampenda huyo mzee anawezaje kusimama? Ndiyo mkome maana humu kuna watu kazi yao ni kutafuta ving'ast tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.