asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
kawaida hiyo , cha muhimu ahakikishe anamtunza jamaa yake kwa lishe bora na aphrodisiac foods bila kusahau kujiweka vizuri kimwili.
kawaida kabisa iyo.umri unaruhusu.,,,atapoa mwenyewe akishafika menopouse
mdida, hata kabla Dr. hajaja, we inakumbua..?? Si utoe uzoefu wako...!!ngoja Dr. waje?
Badilisha aina ya starehe... Stress zinatupata kwa kuwaza starehe ipo moja tu, afterall tuna milango mitano ya fahamui cant imagine nafika menopouse.........nakosa mautamu........ntakufa kwa stress mie!!!
i cant imagine nafika menopouse.........nakosa mautamu........ntakufa kwa stress mie!!!
Halafu wewe...sitaki kucheza na wewe......:disapointed::disapointed:
Badilisha aina ya starehe... Stress zinatupata kwa kuwaza starehe ipo moja tu, afterall tuna milango mitano ya fahamu
1. Kuona, unaweza ukapata starehe kwa kuona au kuangalia tu
2. Kugusa, kugusa nako kuna starehe yake
3. Taste, we lamba lamba vitu kadhaa ujuwe radha ya hivyo vitu. utapata starehe pia...
4. Kusikia nako kunaleta starehe
5. Kunusa nako kuna starehe yake bana
AKHU!:tape:kwa hiyo mimi na shosti ake ladylady hatuchekani!
ahahahahahhahahahhahahahahahahhaa L.M.A.O
siyo shost ni dogo langu hilo. kwa hiyo na wewe uko hivyo ebu tupe maexperience bac nimsaidie huyu mtoto