Recent content by ladygreen

  1. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

    Ngoja na Mimi nimtimue yule wng mapema asije kuwa mzigo maana hizi huruma huruma zinatuponza mi angenikoma ningemuacha na maisha yake
  2. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

    Man kama huna pesa tafuta saizi yako Cku izi mna mitindo yakukimbia nyumba mwanamke akikushinda unabeba begi lako unasepa unamuachia kila kitu.. Y
  3. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kughairi kuolewa kwasabb ya best-man

    Ghairi uone joto ya jiwe,, yani ukimuacha huyo wote wanasepa coz unayemtamani naye katekwa kwingine so jipange
  4. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ofa kwako mwanamke mfupi,mweusi

    Cfa zako plz!
  5. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa raha bwana ukipata ubavu wako

    Wanaume wengi imani zenu ni haba hamna hofu ya Mungu
  6. ladygreen

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Kijana soma kwanza umri bado mdogo huo
  7. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kumlala mwanamke kisa dushe kukosa nguvu

    Uroho unawasumbua sana wanaume wengi nipe namba za huyo mwenzio nimwambie muwe mnapima kwanza
  8. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kumlala mwanamke kisa dushe kukosa nguvu

    Umenichekesha sana ndg mambo mengine kujitakia tu
  9. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukipendwa, pendeka

    Wengine vin,gan,ganizi Wengine kwa 7bu ya kitu flani Wengine maslahi
  10. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwa sasa

    Ni kuacha kuishi maisha ya maigizo....
  11. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwa sasa

    Kwnn msiwe criaz?? Kuchunguzana kupo Ila muda unakuwa mchache koz wote lengo ni moja mtakuwa tu ciriaz hata 6 month c mbaya
  12. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwa sasa

    Ni pic tu hiyo
  13. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwa sasa

    Tena mtaelewana sana kwa 7bu wote mtakuwa matured na lengo lenu linakuwa moja .... kumchunguza MTU cyo mpaka miaka hata miezi 6 tu kwa MTU criaz inatosha
  14. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukipendwa, pendeka

    Kupendwa usipopenda ni jambo gumu sana
  15. ladygreen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimezaa mtoto wa nje mmoja, napata wakati mgumu kuoa mwanamke mwingine atakayempenda mtoto wangu

    Tafuta mwenye hofu ya Mungu kidogo itakuwa afadhali
Back
Top Bottom