Nilichogundua kwa sasa

Nilichogundua kwa sasa

Na kwa hili wahanga wengi huwa ni wanaume....
Wanawake ndo huwa na makandokando mengi..
Ni vigumu sana kwa mwanaume kuficha vile alivyo in 5 years of courtship.
Yes, Ni kazi sana mwanaume ku pretend MDA wote huo sisi tuna pretend sana kabla ya kulala na mwanamke tukishamlala tu pale tunakuwa really kitabia kwa wenzetu ukorofi uhuni na madhaifu mengine tutayajua kirahisi...

Wenzetu hawa Sasa
 
ladygreen naomba nitoke nje ya topic...
Hivi mwanamke mwenye mkono ulokuwa decorated namna hiyo..kwenye avater.

Anafanyaje usafi...as in kuchamba...kufua...kuosha!?

Hivi si nu kufuga uchafu. Ukipika chakula ww mi sili. Utanlisha mavi.

....
Ni pic tu hiyo
 
Hamuwezi kuwa serious aise..
Yani muingie kichwakichwa tu.

No please. Chunguzeni na tena mumshirikishe Mungu.
Kwnn msiwe criaz??

Kuchunguzana kupo Ila muda unakuwa mchache koz wote lengo ni moja mtakuwa tu ciriaz hata 6 month c mbaya
 
maisha ya uchumba ni matamu sana.......ila mkisha-ndoa ndoano.......hakuna trailer tena...ni movie yenyewe hapo ndo mtajua mapicha picha yakoje........
 
Mahusiano yana mengi sana, kila mtu ana Mapungufu, inahtaji moyo wa chuma! Unakutana na mtu Anakosea yeye na Atakukasirikia yeye, Utakaa na mke kwenye Ndoa kuna Muda Hamtoongea pengine hata sababu huijui Au haijui Ni husara zako tu kuiokoa ndoa Yako na zaidi Kuwa watu wa Maombi kila wakati
 
Mambo haya hayanamwenyewe
 
maisha ya uchumba ni matamu sana.......ila mkisha-ndoa ndoano.......hakuna trailer tena...ni movie yenyewe hapo ndo mtajua mapicha picha yakoje........
Sure yan
 
Kwa kuangalia hio avatar yako naomba unijibu swali moja tu

Umerudi lini JKT ??
 
Back
Top Bottom