Yote hayo wameyasababisha wenyewe,maana unamuona binti safi ukifuatilia unakuta katoa mimba 3,analiwa ndongo,sasa kweli wewe utakubali kuoa mtu wa aina hiyo?Siyo vizuri ila...atatestiwa na wangpi mpaka aje apate mtu atakaeridhika nae?
Basi njoo kwangu nikuwowe maana unaonekana una akili SanaI look like aboy...isti? Ha ha haaa
Za masiku?
Yaan nilichogundua kwa miaka ya leo,ukitaka kuoa au kuolewa ni bora UJITOE MUHANGA TU.No kuchagua chagua chagua au kuchunguza chunguza.Moyo umependa we oa,moyo umependa we olewa.NI KHERI MCHAWI UNAEMJUA.
Nasema ivi kwa sababu ndoa nyingi zinazovunjika nowdayz ni za wale waliochunguzana miaka mitano...uchumba miaka mitano..mpaka wanaoana washaishi miaka 15 then kwenye ndoa wanaishi miez mitatu...sababu eti tumeshindwana tabia.Ha ha haa.
NO ONE IS PERFECT JAMEN.Mtachagua na mapakashume bure..
NdioTenaa???!!!

Umeona eeh,yani wanaume kwa sasa kazi tunayo,Suresure...kweli aisee
Tena mtaelewana sana kwa 7bu wote mtakuwa matured na lengo lenu linakuwa moja .... kumchunguza MTU cyo mpaka miaka hata miezi 6 tu kwa MTU criaz inatoshaNdiyo shoro,kuchaguaa kwingi...mbona ndo zinawashinda sasa? We oa mengine mwachie Yesu
Hamuwezi kuwa serious aise..Nakuunga mkono % zote ni ukweli mtupu
Unachotaka kutuaminisha hapa ni nini!??Ndiyo shoro,kuchaguaa kwingi...mbona ndo zinawashinda sasa? We oa mengine mwachie Yesu
Ume feli bro 0%
Mfuate tu pm. .mkayajenge hayo maghorofaHa ha haa,u cant be serious.Mi meshauri tu
ladygreen naomba nitoke nje ya topic...Tena mtaelewana sana kwa 7bu wote mtakuwa matured na lengo lenu linakuwa moja .... kumchunguza MTU cyo mpaka miaka hata miezi 6 tu kwa MTU criaz inatosha
Seriously!!! Mchagua nazi huangukia korona.umependa we oa.siyo umtafunee weee then baadae eti umemshindwa tabia.Mnhu!
Na kwa hili wahanga wengi huwa ni wanaume....Sababu kubwa ni kuishi Miaka 5 ya ufake mwingi..
Tatizo la mahusiano mengi Ni kupretend sana huwezi kuishi na mtu miaka mitano unahisi kbs angalau namjua huyu mtu 80% halafu siku ya siku anakuja kukuonesha tabia mpya kabisa ambayo hata hukuwaza Kama anayo mbaya zaidi ya ajabu Sana...alikuwa anasubiri nini kuonyesha hiyo tabia miaka yote ya upenzi???
Mtu Kama una malengo nae na yeye Ana malengo na wewee stop pretending onyesha madhaifu yako mshirikiane kutatua