Recent content by Ladyfirst

  1. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

    Huyo Dada kuna kitu anakitsfuta sio bure
  2. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanamke unamtendea mume wako kiasi hiki? Ningekuwa Mimi ningeteganisha mtu viungo vyote.

    Hii hatari mke unanyanyua mwiko unapiga mume wako anaekulisha kweli? Mi siwezi Sijui kwanza naanzaje.
  3. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Mnaomshabikia Rais wetu mnijibu

    Kweli hali imekuwa ngumu sana sio siri jamani
  4. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Tatoo, ajichora mchoro mwilini akiona cha moto

    Ujumbe umefika
  5. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Waombaji ni wengi .. TB Joshua kiboko!

    Ebu wakati mwingine muwe na aibu na utapeli huu. TB Joshua hana mwanafunzi na ulisitumie jina la TB Joshua kutapeli. Jina linaloponya ni la Yesu pekee. Huduma za hotelini ni za kitapeli tu.
  6. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa Tanga, Bagamoyo, Pwani wanasifika kwa mauno kitandani?

    Mh! Mbona hata uelewiki jamani.....
  7. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Mbigiri-Kilosa: Bei ya nyanya yashuka hadi sh 700 kwa ndoo ya lita 20

    Kwa hiyo ulipokimbia uliwaachia nyanya wenye gari? Duh hatarii
  8. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Every dad's worst nightmare!

    Tumuombe tu Mungu maana sis wazazi unaweza kupanga mtoto kuwa hivi, akaenda kinyume kabisa na matarajio ya wazazi.
  9. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Tubadili gia, list ni ndefu

    Imekuwa hatari, hata kukomenti naogopa. Mshana Jr, lazima tubadili gia kiukweli la sivyo tutaishia pasipo julikana
  10. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Sijui nitamsaidiaje huyu rafiki yangu, uume wake haufanyi kazi kabisa

    Hii hatari aisee, yani toka kuzaliwa kwake mpaka sasa hajawahi kuonja. Ila kwa yote sifa apewe yeye aliye muumbaji, kuna mwingine uzaliwa hana macho, mwingine mikono, mwingine kiziwi, mwingine kipofu, mwingine kilema n.k lakini cha huyu kaka ni hatari, na kama kazaliwa hivyo ni vigumu kupona kabisa.
  11. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Kwa mapenzi hayo cousin wako ni hatari sana, wanawake wanabeba siri kubwa sana ktk familia, ndiye anayejua baba wa mtoto. Sasa ikitokea mumeo kujua si kifo tu.
  12. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Enyi wake wa wanasiasa za mageuzi, washikeni mikono waume zenu

    Nchi yetu hatujafika huko
  13. Ladyfirst

    JamiiForums Tanzania Mungu anisamehe kwa hili nitakalosema kama ushauri kwa serikali yangu juu ya manabii

    Yule si nabii ni mchungaji, na hata siku moja hajawahi kuitwa nabii
Back
Top Bottom