Hahahaaa!! Pole sana kaka! Mi ninavyo hisi huyo mkeo anataka attention tu. Mbembeleze bembeleze, mtanie tanie, mtekenye kama necessary. Akianza kuleta za kuletwa mwambie, "switi ukinuna unapendeza wewe, hadi natamani ........" jaza unavyoona fit mwenyewe. Au jidai kama huja notice kama amenuna...