Recent content by LADY M

  1. L

    JamiiForums Swali kwa wanaume wafupi...

    mapenzi saanyingine ni kama maigizo hayana formula . kuwa na mbwembwe au pozi za ajabuajabu ktk mahusiano hakutabiriki. haijalishi mtu awe mfupi au mrefu ni hulka ya mtu mwenyewe, jambo la msingi ni kuomba Mungu upate ubavu wako! wawezakuwa unang'ang'ana na ubavu wa mwenzako mwishowe ukaambulia...
  2. L

    JamiiForums Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

    Duh jamani kumbe tuache kuigaiga mamboz ya kulambaaaaaaaaaaa. japokuwa kuna raha pale ila side effect ni kubwa sana jamani. hebu tujuze dalili za hako kadisease tukae mkao wa kuelewa kwa kina. maana mmh majangaaaa haya!
  3. L

    JamiiForums Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

    hahaaaaaaaaaaaaaaa 4 years. kama ni mtoto keshaenda nursery. duh ama kweli ni mvumilivu kama hajagegeda. maana wanaume type hizo huenda wapo sayari yajupiter. teh teh teh
  4. L

    JamiiForums Kwa wachache wenye tabia ntakayoitaja tubadilike ili tuyapate mema siku za usoni

    yeah. umeonaeeeeeeeeeeeeee. walau cku mojamoja tukumbushane kutenda mema ndugu
  5. L

    JamiiForums Kwa wachache wenye tabia ntakayoitaja tubadilike ili tuyapate mema siku za usoni

    JAMANI KILA MTU ANAHITAJI KUWA NA FUTURE NZURI IKIWEMO NDOA ILIYOSITARIKA KATIKA MALEZI BORA. FURAHA AMANI NA UPENDO. BAADHI YETU TUNAMSHIRIKISHA MUNGU ATUPATIE WENZA TULIOFANANA NAO ILI TUJENGE FAMILIA TAKATIFU. KAMA WEWE NI BINTI DADO, UNATAMANI SIKU MOJA KUWA NA MUME ALIYETULIA WAKATI SASA...
  6. L

    JamiiForums Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

    kuna tetesi kwamba kuanzia mwaka huu wa masomo ada za MA pale UDSM zitapanda mara mbili. c mchezo maisha yanapanda knyamaaaaaaaaaaaaaaaaa. ada ya MA ya Education itakuwa sh, Milion 6.
  7. L

    JamiiForums Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

    kuna tetesi kwamba kuanzia mwaka huu wa masomo ada za MA pale UDSM zitapanda mara mbili. c mchezo maisha yanapanda knyamaaaaaaaaaaaaaaaaa. ada ya MA ya Education itakuwa sh, Milion 6.
  8. L

    JamiiForums Honey i miss my days

    hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  9. L

    JamiiForums TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    ahsante sana. ubarikiwe kwa taarifa iliyosheheni maelezo ya kina. tunaungana kuwaelewesha ndugu na marafiki.GOD EXCEED YOUR WISDOM
  10. L

    JamiiForums Meseji za uzushi kwenye simu.

    inabore sana eti. unaweza kuzima simu ukakosa deal za maana. i hate that so much. tatizo ni kuwaaminisha watu ishu zizizokuwa na ev idence
  11. L

    JamiiForums Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    naomba msaada wa kuondoa madoa uson pls! mana napata tabu kwa hili. plz mchango wenu ndg. mkojo unapaka mda wa dk ngp ?
  12. L

    JamiiForums Hii issue mnaionaje wanajf wenzangu?

    kaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz kwel2. mitaa hyo haifai
  13. L

    JamiiForums Kuhudumia Mwanaume Kabla ya Kuoana.

    haha kidhungumkuti.
  14. L

    JamiiForums ABCs OF LOVE: DEDICATED TO MMU

    nice . i like it
Back
Top Bottom