ahahahahhahaha atakuwa yupo kwenye tume sijui!
ngoja niongeze uvumilivu atarudi!
Anachakachua matokeo ya tume eeehh
ngoja aje atuambie tume inasemaje
ahahahahhahaha atakuwa yupo kwenye tume sijui!
ngoja niongeze uvumilivu atarudi!
We snowhite labda kama huna mtoto mchanga ndo iwe sherehe ukimis siku.... We kitoto kina wiki miezi miwili kasoro halafu umisi siku iwe sherehe..??? Si kweli
EMT sijamuona muda kweli sijui amepotezw ana mabomu au budget imempoteza
EMT angalia tuu usije na ngeu aise
Ila wenzetu maandamano yao bana polisi wanakaa pembeni wanawaangalia mradi tuu msianze kuharibu vitu hapo polisi wanaingilia au wakiona mmefika sehem ambako sasa mtaleta madhara ndo wanaingilia sio haya ya kwetu kidogo tuu polisi wanaanza mkong'oto balaa na mabomu ya machozi na maji na risasi za moto duh
Hapana aisee. Washawasha za kumwaga, mabomu ya machozi na rubber bullets mtindo mmoja.
Ila hakuna mabomu ya kuua na risasi za moto kwa sababu ni very tricky kwa serikali.
Wananchi hapa wamekataa kabisa kugawanywa kwenye vyama vya siasa na wanasiasa.
Badala yake wanaandamana kama wananchi na siyo wafuasi wa chama fulani.
Nimeipenda hiyo spirit mkuu EMT
tatizo la hapa ni kwamba wananchi hawawezi kufanya hayo bila ushawishi wa chama au wanaharakati na wanaharakati wa hapa hata wasikie kuna tatizo kwa wananchi wanakaa kimya
Na nafikiri watu wa hapa wahawaogopa polisi kuwa ukienda kwenye maandamano kuna mawili kurudi ukiwa mzima au kurudi ukiwa mfu au kilema sasa hapo lazima watu waogope kwenda kwenye mikusanyiko kama hiyo ambayo polisi badala ya kubeba risasi bandia wao wanabeba za moto na mabomu baddala ya kuyafyatua watu watawanyike wao wanawaftatulia watu tumboni
Hakuna mabadiliko yanayokuja bila kuji-sacrifice au kuwa na woga.
Hakuna kabisa na asikudanganye mtu yoyote yule.
Mkuu EMT kwa kauli kama za Pinda unatarajia nini mkuu
Kwa sasa hao jama awameambiwa wapige unaweza kufikiria ni nini kitatokea
Well, kwa mfano, wakiandamana watu milioni moja Dar, watawapiga risasi wote?
Watawala wanajua sie ni waoga, tumegawanya kivyama zaidi, hivyo tukipigwa mkwara kidogo tuu tunanywea.
Umesahau na "sijanunua gari bado, si unajua tena mambo ya watoto na nini, staki upate shida kwenda clinic na shopping..."Ndio dawa ya wanaume wanaosuasua kutangaza ndoa, Mara "ngoja nijipange", "ngoja nimalize digrii ya 2 nisijichanganye na mambo mengi nifanye moja kwanza", "ngoja biashara zikae vizuri", "nimalize nyumba tukifunga ndoa tuwe kwenye nyumba yetu","nangoja kauli ya wazazi".......!