Recent content by lady Jay

  1. lady Jay

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuomba kazi kupitia Ajira Portal

    Habari wapendwa, Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika. Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama. Asanteni
  2. lady Jay

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au part time job Arusha

    Nashukuru sana
  3. lady Jay

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au part time job Arusha

    Nashukuru
  4. lady Jay

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au part time job Arusha

    Habari zenu,heri ya mwaka mpya wapendwa. Mimi ni mdada mwenye degree ya accounting na nina uzoefu kwa zaidi ya 5 years.Niko vizuri sana kwenye tax compliance zote za TRA na za serikali kama NSSF,WCF, Service levy,etc. Pamoja na hayo yote,niko detail oriented na pia nina uzoefu wa accounting...
  5. lady Jay

    JamiiForums Tanzania Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. lady Jay

    JamiiForums Tanzania Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Makabila yote hayo yananihusu[emoji23] Ila mbona sina kiburi
  7. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

    This is so true
  8. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

    Wembamba tumefikiwa walau [emoji1787][emoji1787]
  9. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Wewe hudumia mwanao..Ndo jambo la msingi mkuu
  11. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    I don' t care..
  12. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Yaani wanaume siku hizi wanaona sijui fashion kutelekeza watoto.. Mimi nilimwambia kabisa akomeeee kupiga simu eti anamuulizia mtoto wakati kwenye matumizi anaona ahusikiii.. Na kifuatacho, mwanangu akikua nitamwambia babake alifarikiii.. Mnaboaaa sana
  13. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Umemaliza kila kitu..
  14. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Ni kweli
  15. lady Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Sijapata mtoto kwenye ndoa nahitaji wa kuzaa naye nje. Naumia kwa msongo wa mawazo (Depression)

    Wengine wanawakimbia watoto wao , Na wengine wanatamani kuwapata watoto
Back
Top Bottom