Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,192
- 9,950
Ingia tu Insta au hata youtube ana channel yake. Andika boaz mkumbo utamuona. Then soma.makala zake mbalimbali af ukiona unahitaji zaidi wasiliana nae personally.Asabte kwa ushauri ila kama hutojali naomba mawasiliano ya uyo boaz
Pia ana kitabu kinaitwa sayansi ya mapishi if sijakosea. Kina muongozo wa vyakula.
I had a friend alikua na the same problem kama ya wife ako. Akaanza kufuata huo utaratibu plus mazoez. Uzito ukaanza kushuka, by mwez wa 3 akaconceive. Mpaka sa hv ana mimba kubwa tu