Recent content by ladivasia

  1. L

    JamiiForums Tanzania TRA Nafasi za July

    Majina yametoka.this nov
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tigo tanzania network yenu majanga,mnapoteza wateja kwa uzembe wenu

    Kama una mchina ata kama bando ni la mbs.kaz bure baba.
  3. L

    JamiiForums Tanzania DeadLine Extended: Paid Internship Placement at DOT Tanzania - Sunday 9th Feb 2014

    It is very very complicated
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ban on Recruitment Agencies: NFT Consult - Tigo waamka usingizini

    Serikal sasa inachukua hatua.na nanaomba mama waziri alisimamie hili.ndugu zetu wanateseka.mtu ana degree .wengine masters .hawaheshimiki makazin.NFT.waachien watoto waende zao Tigo.angalau wapate raha ya kisomo walichosoma.mtu unamkata nusu kwa nusu mshahara.as if mliwasomesha.the real salary...
  5. L

    JamiiForums Tanzania NEWS ALERT: Mliodhulumiwa na EroLink na other Agencies mnaonaje mkafanya hivi...

    Kuna kampun kama Spanco.NFT nazo ni uzurumaji wa hal ya juu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Government Ban Job Recruitment Agencies!

    Izi agency zinatunyonyaaaa saaana.kuna mshikaj wangu yupo tigo customer service anapata lak 5.kutoka campum moja ipo mikochen Nft.wakat mwajir analipa milion na kitu.yaana anagawana pasu kwa pasu.maternity mtu akienda halipwi.likizo shidaaa.health insuaranca mtu mmoja tu.imagn kama una...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huuu.... Wanawake wengi mtajikuta 35yr's... Bado mko searching...?!

    Hata wanaume kuna wa type izo mbona wengi tu.ungeongelea in general .acha kujifanya wanaume ndo wanaakil timamu.wengi wao mbona ma boya tu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Watu Wengi Sana Hasa Wanawake Wamefanya WhatsApp Sehemu ya Kujifariji

    Khaa.naona kama unaingilia uhuru wa watu vile .status ya mtu kwenye sim inakuhusu .?kaandika yeye.kama wewe haikuhusu sasa inakukera nn.yeye kumsifia hubby wake.jaman. Acha kuanza kujitesa na mambo ya watu.fatilia yako
  9. L

    JamiiForums Tanzania Sista duu/blaza men simu ya 1M umepanga nyumba ya una zam ya kudeki choo na unapikia mkaa

    Acha kufatilia watu.kuna sim za dil.kwan akishika sim yenye thaman ya milion dukan.aimanish nae kanunua kwa bei ya dukan..acha ushamba
  10. L

    JamiiForums Tanzania Girls you need to take it slow..

    No one is allowed to do thing overrrr.even a boy or girl.unafikir ata mwanaume aki over do kufanya vitu va kijinga.nan atakubal kuolewa na mwanaume uyooo?
  11. L

    JamiiForums Tanzania huawei y300 inauzwa

    Zinauzwa 195000 tigoshop
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kuna fahari gani ukipanda gari ya posta Mwenge?

    Jaman kuna mada zingine n za kuongea mtaan .si za kuleta apa khaaaa.inakuhusu nn mtu akipanda gar analojisikia?jaman
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ephraim Kibonde;kuwaponda bank tellers kuwa ni wezi

    Nahs kashaanza kuchanganyikiwa .ameze dozi akalale bane.
  14. L

    JamiiForums Tanzania TRA Assistant Accountant

    Shark aliekwambia Gpa ndo mshahara nani? Upo kwenye soko la ajira kwel wewe?
  15. L

    JamiiForums Tanzania TRA Assistant Accountant

    Gpa ni namba tuu.we nenda. Watu na gpa za 4 uko.ukute kujielezea hawawez.kiingereza kiko kushoto. Mpaka umeitwa kwa interview gpa weka pemben kabisa. Nenda kafanye yako.jiamin
Back
Top Bottom