Hali ni tete mpaka sasa,ofisi moja ya ccm imebomolewa,baadhi ya huduma za jamii zimefungwa,idadi kubwa ya wananchi ni majeruhi na wengine ni marehemu,watoto wa shule wakimbia hovyo,eti maisha bora kwa kila mtanzania ndio hayo?au amani na utulivu ndio hiyo ya watu kuuwawa?jamani niombeeni mpaka...