Recent content by lacunae

  1. lacunae

    Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    Hasa kwenye inbox zangu every weekend and then ni huu utumbo wa FLP……kwa nini vijana na wenye nguvu msifanye kazi zinazoonekana na mapato mkalipa serikalini??!!!, Mara kiyosaki sjui nani na nani ya nn!!!
  2. lacunae

    Legality ya Commissioner for oaths kuapisha

    Habari zenu wakuu, Ninaomba kujua legality ya state attorneys na city solicitors kuapisha watu, 'kufanya attestation', are they commissioners for oaths?
  3. lacunae

    Msaada na techno p5

    Huwa nashindwa kutambua pahali pa kupost ama kufanya reply, with regards.
  4. lacunae

    Tanesco !'Njiro' kuna nini mbona hamkati umeme.

    Heeeh mabilionare wanaishi industrial area!!! Shame upon their faces!, upuuzi mtupu si bora kuwasha karabai moshono lkn unapata muda hata wa kutafakar ya jf!, hizo jenereta za Hilary hapo IAA ni nini kaa sio utumwa hata unishawishi Leo kuishi maeneo ya viwanda!!!
  5. lacunae

    Itv na eatv kuanza kuonekana azam tv

    Jamani hii kitu azam iko wapi hapa arusha!,
  6. lacunae

    Press conference ya ACT-Tanzania

    Huwa sishabikii siasa lkn hapa ninalo neno, HATA KAMA SIIJUI SAYANSI YA SIASA ikiwa chama cha siasa hakisemi wazi kinataka kushika Dola hicho ni chama au NGO?
  7. lacunae

    Matumizi ya power bank kwenye simu

    Mmmh bei ya smartphone ingine kabisa #young master
  8. lacunae

    Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

    Mmmh, name hii ACCESS ikoje wadau
Back
Top Bottom