Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Nashindwa kuelewa jamani ni kwann tu mnaonea eneo mengine lakini mtaa wa 'njiro' arusha hua hamkatiii ...
Na hii imekua ni historia tangu miaka na miaka ... Hua ndivyo hivyo ilivyo ... Njiro hawanag histori ya kuteseka na umeme kabisaa ,mgijisikia kukata mnakata esso ,ngalimited na moshono ndio kabisaa mmepageuza giza kila siku .
Jana mmekata umeme siku nzima maeneo hayo , leo mmekata jioni hii lakini njiro upo ..
Mpaka wananchi waandamane ndo mtajua wanajua kinachoendelea eeh ..
Kwann mnapendelea live kiasi hiki . ..kwan njiro kuna nn haswa ,au huko ndo kuna chanzo chenu cha umeme .
Umeme wenyewe tukiupata mara uwake sekunde tatu ,mara ukatika ,mara uje mkubwa mara mdogo ..
Mnatuunguzia vitu vyetu mnaona sawa ..
Tumewachoka ,tumewachoka ... Na uvumilivu unaelekea kitushinda .
Kwann sisi tuuuu ... ! Kateni basi kabisaa tujue nini cha kufanya .. Acheni kutufanya wajinga ..