Recent content by Lackh Diel

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Acha wafu wazikane wenyewe, wametunyima uwanja lakini Majengo kumenoga zaidi

    Kwa nini yasinoge? Au kwa kuwa hakuna rambirambi ya kuliwa na machichiem?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Acha wafu wazikane wenyewe, wametunyima uwanja lakini Majengo kumenoga zaidi

    Siasa ndo kila kitu, kama hata wanaojua kusoma na kiandika tu ni wanasiasa?!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Acha wafu wazikane wenyewe, wametunyima uwanja lakini Majengo kumenoga zaidi

    Kwani ukichukia ndo ufii?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeogopwa asiyefikia hata miaka 30

    North Korea waoga wote wanachinjwa!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeogopwa asiyefikia hata miaka 30

    Uoga mbaya?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa chama cha upinzani kuteuliwa mkuu wa mkoa (katiba ya CCM) akikubali ni kukosa uelewa

    Mkuu wa Mkoa AMBAYE ni Mwanachama wa CCM. Mghwira ni mwanachama wa CCM?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa chama cha upinzani kuteuliwa mkuu wa mkoa (katiba ya CCM) akikubali ni kukosa uelewa

    Sasa si imeandikwa Mkuu wa Mkoa AMBAYE ni mwanachama wa CCM. Mghwira si mwanachama wa CCM si lazima kuhudhuria.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Aliogopa kuchukua kisha akaendelea na kuyashughulikia? Uongo bila hata aibu!!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Huu nao ni ufala, dunia nzima maana yake nini? Haya mambo ya Magufuli ndo dunia nzima, kama ulisoma kweli wasiwasi wa nini, ina maana na Phd uliyonayo hujui la kufanya?!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Godfrey Ngoyai Lowassa ni kijana wa Edward Ngoyai Lowassa?

    Believe me or Not! Majina mengi ni FIX, just matter of time. Mie nimeshuhudia1.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

    Kumbe uzalendo huwa si kwa nchi ni kwa ajili ya chama! Hahahahaa, sina mbavu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM sasa wanatembea kifua mbele

    Bajeti ilitekelezeka kwa asilimia 90 lakini kwa sasa ni asilimia 34 tu!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

    We unasema SABC, tafuta the Monitor la Uganda 27/03, utalia!!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu elimu ya awali ya Dr. Joseph Magufuli

    Lakini hata kuingia Seminari ilibidi mtihani ufanyike, na aliufaulu so yaonekana alikuwa bright, kuna mtu alisema Magu alikuwa mlaji wa mboga ya Msukuma, ndo akatimuliwa.
Back
Top Bottom