Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,567
- 13,542
Bila kificho, bila kupepesa macho,bila kuogopa, bila maneno ya kuzunguka, ukweli ni kwamba: "katibu Mkuu Chadema taifa, ndugu Vicent Mashinji, amepwaya sana katika nafasi hiyo. Naibu katibu mkuu bara, John John Mnyika pia amepwaya sana katika siasa za sasa, chama kimeshikiliwa kisiasa na Freeman Mbowe na Tundu Lissu.
Chama kwa sasa kina tegemea MATUKIO kuliko hoja za msingi. Hali ya kisiasa ndani ya chama kwa sasa siyo ya kujivunia. Chama kijipange upya, zama zime badilika sana. Huo ndiyo ukweli mchungu sehemu ya kwanza, nitarejea.
NB: Najua ukweli kama huu haupendwi, najua wapo watakao chukia lakini tusiwe wanafiki, tujitathmini.